Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana...
Mkuu,
Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale.
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Pia soma...
Ndugu zangu Watanzania,
Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona...
Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa...
➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa...
Kituo cha Daladala cha Mbezi Stendi upande wa chini, zinakopaki Daladala za Kinyerezi na Bajaji za Malamba Mawili, kuna takataka zimerundikwa kwa muda mrefu sasa zinatoa harufu kali sana, mbaya...
Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili.
Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu.
Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya...
Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo...
Katika muktadha wa elimu nchini Tanzania, idara ya sekondari katika Moshi Manispaa imejikuta katika hali mbaya ambayo inahitaji umakini wa haraka kutoka kwa serikali. Mkuu wa idara na wasaidizi...
Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya
Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa
Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB)
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa
Tunawaomba mtume...
Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha.
Kampuni ya Ongujo Invesment...
Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali...
Huku mkoani Geita, Mtaa wa NMC kumekuwa na udanganyifu mkubwa sana wakati zoezi la uandikishaji likiwa linaendelea.
Kumekuwepo na suala la uandikishwaji hewa wa Wapiga Kura huku idadi ya Watu...
Waziri Mchengerwa nimesikia maagizo yako kwa TARURA kuhusu ubora na viwango vya barabara wanazozijenga.
Ombi langu usiishie kutoa maagizo ingia site ujionee vituko mwenyewe.
Anzia na barabara za...
Mbegu zote za Asili duniani za mimea yote ya asili wazungu wanazo wanaficha hapa.Unajua kwa nini?
Lengo wauze mbegu xa GMO halafu tukiona zina madhara hatutaki mbegu za asili zitakuwa...
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala...
Kiwanda hicho ambacho ni mali ya serikali kwa sasa hakifanyi kazi kimeuzwa kwa thamani ya shilingi bilioni 3 wakati thamani halisi ya kiwanda hicho ni zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 157...
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50...
UTANGULIZI
Katika mazingira ya kisiasa yanayoendelea kubadilika, mchakato wa uchaguzi unachukua nafasi muhimu katika demokrasia ya nchi. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazokabili mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.