Hapo vip!!
Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho.
Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana.
Leo nimepita pale na gari tunashindwa...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na...
Hapo vip!
Kipindi hichi imekuwa ni kipindi hatari sana kuliko nyakati zote. Kipindi hichi jambazi anakamatwa asubuhi, jioni yupo kitaa.
Hapa Ngulelo Arusha, majambazi wamekuwa ni kero, wanavunja...
IKUNGI-SINGIDA,
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo...
NEC RUKWA SULTAN SEIF ANAVYOKWAMISHA MRADI MKUBWA WA TAZA
Mradi huu Mkubwa wa Umeme sasa upo kwenye mashaka kutekelezeka kwa sababu ya hila Chafu za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
Mzazi wangu ni mmoja wa Wazee ambao wamestaafu utumishi katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), mzee wangu na wenzake wengi waliostaafu Mwaka 2004, 2005 na 2006 hawajalipwa stahiki...
Baada ya DC wa Longido kutoa kauli kama ya Nape Nnauye kamati ya uteuzi kuandaa jina la kuchukua nafasi huku Lucas Mwashambwa na Josephaty chawa mkuu kukosa uteuzi huo.
Taja jina la mrithi wa DC...
Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa
Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana...
Hivi kwenye Nchi yenye kila aina ya dhiki kama hii, kukusanya Wasela na Maofisa kutoka Tanganyika na kuwajaza Kizimkazi, ili Washiriki Uzushi unaoitwa Tamasha la Kizimkazi, huku wakilipiwa kila...
Kauli iliotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha imenisikitisha sana.
Kauli hiyo kwa upande wangu naiona kama ya ubaguzi kwa baadhi ya Wananchi ambao wanamtazamo totauti na...
Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji.
Fununu hizo zinaeleza kuwa...
Shule ya msingi Kitefu iko Halmashauri ya Wilaya Meru mkoa wa Arusha. Kuna mtoto amefanyiwa ukatili na anadaiwa ni baba yake kwa kumchoma na nyaya za umeme, huyu bwana alikuwepo leo shuleni baada...
Mh Rais, mimi ni raia wa Tanzania na ni mwananchi wako mwema.
Naomba kwa masikitiko makubwa tena makubwa nikujulishe tu ya kuwa:
Juzi nilipigiwa simu na Mkuu wa Wilaya ya Lindi akinijulisha...
Rais Samia
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater.
Mh Rais ni kwamba...
Huduma za kuingia na kutoka Zanzibar zipo tofauti Sana na huduma za viwanja vingine vya ndege Duniani. Nadhani mentality ya wizi au Rushwa umepelekea serikali ya Zanzibar kujaza taasisi nyingi...
Mzee Kinana muda wake umepita. Raisi anatakiwa atafute makamu ambaye anaweza kufanya vitu kwa manufaa ya umma kwa ujumla wake na sio kwa CCM pekee. Kwa mwenendo wa sasa, watu wasioelewa wataona ni...
Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu!
Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.