Rais Samia salaam!
Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha...
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na...
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika.
Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa...
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna...
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
Kwanza, ninaomba kutangaza "Conflict of Interest" katika jambo hili. Ninaandika haya baada ya kuwa mimi ni sehemu ya waathirika wa mfumo wa elimu unaotolewa na Chuo cha Ustawi wa Jamii.
Nilikuwa...
Salaam Wakuu,
Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara.
Tatizo hilo limeanza hivi...
Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni).
Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya...
YAH:- MWALIMU CALVIN TWARILA WA KIBO AACHIWE HURU ANAONEWA!!
NAWEKA USHAHIDI WA MAOVU YOTE YA NGONYANI!!
Somo tajwa hapo juu lahusika.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa viongozi wote...
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu...
Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha...
Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe...
Habari wakuu,
Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi...
Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga.
Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba...
Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote...
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati...
Kwa msiofahamu tumbaku hununuliwa na makampuni tofauti. Makampunj yaliyopewa leseni ya kununua tumbaku mkoani Tabora ni pamoja na Voedsel, Alliance One, TLTC, GTI, Mkwawa na mengine nimeyasahau...
Naandika kwa uchungu mkubwa baada ya Mke wangu kufanyiwa udhalilishaji na huyu kijana mhuni anayeitwa MALIMA ambaye ni Polisi Jamii hapa Kata ya Nala.
Ni kijana ambaye anajiona yeye ni zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.