Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke...
Nilionya Mapema kwamba ni vema hawa wanaoropoka na kutukana Wagombea wengine, Waitwe, Waonywe na wasamehewe.
Lengo la ombi langu hilo ilikuwa kuepusha mkanganyiko na kudumisha Umoja na...
"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza...
“Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea...
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi?
Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja.
Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja.
Mwalimu Nyerere aliona...
Wakuu,
Baada ya kukamatwa usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2025 mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa na kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, dhamana yake imekwama kwa kile...
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania.
Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu.
Inawezekana itaonekana kuwa ni kitu cha ajabu kwa baadhi ya watu wanaoamini kwenye kufanya mambo kimazoea, lakini...
Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau.
Niliwahi kuandika uzi huu pia:
Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM
Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya...
Wakuu,
Mtaalan kumekuwa na story nyingi sana za watu kutekwa.Wengine wakiwa marafiki wengine ndugu na sisi wengine kusikia kutoka kwa vyombo vya habari kwamba yule au huyu katekwa au hajulikani...
Kiukweli siasa za hii Nchi ni ngumu sana
Ninachomuomba Alhaj Mchengerwa atupangie Timu makini ya Wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa October kwa sababu Wahuni siyo watu
Mlale unono 😄
Heshima sana wanajamvi.
CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa...
Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje alimvaa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kwa...
Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.
"The lord can't forget his people."
Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:
1. Tofauti na wote, TAL anao usomi...
Habari Wana JF.
Kwanza nielezee masikitiko yangu kwa kauli ya Jana ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Mbowe kwamba anajuta kumwamini Rais Samia
Mheshimiwa Mbowe alipigiwa kelele sana kuhusu...
Salama kabisa!
Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa...
Mbowe akiwa Clouds fm leo amesema kuna kikao cha kamati kuu CDM kinachoongozwa na makamu m/kiti Tundu Lissu muda huu pale makao makuu CDM, Mbowe ni mwanademokrasia sana sana, anaheshimu katiba ya...
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI
"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin...