NYUMBA KWA NYUMBA MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIHAMASISHA NA KUOMBA KURA ZA NDIYO KWA WAGOMBE WOTE WA CCM.
Tunaendelea kuhamasisha Wananchi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha...
MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE.
Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani...
Wananchi Mjini Babati mkoani Manyara wametakiwa kujitokeza Novemba 27 mwaka huu kupiga kura ili kuwa kuchaguavViongozi waadilifu watakao waongoza katika kuleta maendeleo, huku wakitakiwa...
Wanabodi,
Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya.
Hawa CCM...
Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi.
Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na...
"Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akizungumza jijini Dar es salaam kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mnamo mwezi Novemba 27, 2024 amesema hali ya usalama mkoa wa Dar es salaam...
25 November 2024
Kyela, Mbeya
Tanzania
CCM wamsubiri mchg. Peter Msigwa, aokoe jahazi kongwe la CCM TAMISEMI 2024
Chama dola kongwe wapiga kambi wakimsubiri Msigwa kuokoa jahazi kanda ya nyanda...
Bado siku moja kutoka sasa kuelekea katika siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika Novemba 27, 2024.
Wagombea kutoka vyama mbalimbali wamendelea kunadi sera zao na Ilani ya chama...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Bara, Isihaka Mchinjita @MchinjitaIR, amesema kuwa suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kukiondoa madarakani Chama...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewapongeza viongozi wa CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kwa makubaliano yao ya...
Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na...
TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba...
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa...
Wakuu,
Mambo bao moto, Mgombea Uenyekiti wa CHADEMA, Maulid Abdallah aliyeenguliwa licha ya kuwa na sifa bado ana dukuduku, akosoa waliosimamishwa kugombea.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi...
Kauli za kishujaa zinazidi kutawala kutoka kwa viongozi wa CHADEMA. Hii ni kuwajengea kujiamini wananchi katika kipindi hiki cha uchaguzi wasibabaishwe na watu wenyenia ya kuharibu uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.