Mwenyekiti wa chama cha TLP Taifa, Ivan Jackson Maganza ameamua kuambatana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makala katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kuwanadi...
Wakuu,
Lungo hilo la kuwanyamazisha waandishi wa habari kipindi hiki cha uchaguzi. Habari za Uchochezi ni zipi?
=====
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi limefanya kikao kazi na Waandishi wa Habari...
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu amesema Maendeleo ya kweli yataletwa na Chama cha Mapinduzi Akiwahimiza Wananchi kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Wakuu
Huu mpango wa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam una lengo gani, kwani amezindua Tamasha la siku tatu "Bata la Disemba - End of the year Carnival" lakini ili utokee lazima umpe...
MBUNGE VUMA HOLLE AENDELEA KUZISAKA KURA KWENYE MVUA
Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Mhe. Augustine Vuma Holle ameendelea na Kampeni za kuwaombea kura wagombea wanaotokana na CCM katika...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Kagera Komredi Faris Buruhani ameendelea na Kampeni ya kuwanadi wagombea wa CCM katika mitaa mbalimbali ya Mkoa wa Kagera inaendelea katika Mitaa 10 ya...
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa.
Chatanda...
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha...
Wakuu,
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka...
Wakuu,
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa...
Wakuu,
CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa.
Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika...
CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi...
Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na...
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi...
Wakuu,
Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni.
Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM...
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi...
Wakati namwona Mh. Mbowe kule Songwe na Mbeya, namwona Mdude Nyagali Ileje hatua mbili uingie Malawi na mbili uingie Zambia, namwona Tundu Lissu Mara Mwanza na KESHO Ikungi kwao
Namwona Zitto...
Heka heka za uchaguzi zinaendelea nchini Tanzania, Maajabu hayakosekani Mtandaoni IKIWEMO JF, CHADEMA wanaandikwa sana kuliko CCM, CHADEMAna Act ya zitto walau kule X ndo balaa kabisa.
CCM kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.