Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza
Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi?
Kupata taarifa zote za...
Wakuu,
Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka...
Wakuu,
Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali.
Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata...
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa
kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku...
Wakuu,
Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja...
Ukitazama hii picha kiongozi huyu ameonyesha hisia na hamasa kubwa katika kuhakikisha anatimiza majukumu yake bila kujali hali aliyokuwa nayo.
Nyie! kuna watu wanavipenda vyama vyao katika kila...
Wakuu,
Safari hii kweli mambo magumu kwa CCM, mbinu za kijasusi zote zinatumika kuomba kura, bado kugeuza macho tu kama akina Zuchu :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kupata nyuzi za kimkoa...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Pamoja na Mikutano kadhaa aliyohutubia leo, Mwenyekiti wa Chadema amefika Mbalizi na kuwaomba wananchi wachague Wagombea wa Chadema ili kuepuka laana ya Mungu...
Wagombea wa CHADEMA na TLP Mtaa wa Tandale Kwa Tumbo wamekubaliana kuunganisha Nguvu ambapo Mwenyekiti kutoka TLP apewe Kura na Wajumbe Wote kutoka Chadema wapewe kura kisha wataunda serikali ya...
Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya.
Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala mbalimbali ya kijamii mkoani Mtwara la Faidika Wote Pamoja (FAWOPA), Baltazar Komba amewataka wanaume kuelewa...
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii...
JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV itaendesha Mjadala kuhusu Nafasi ya Wanasheria Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024
Mjadala utaongozwa na...
Wakuu salam,
Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro...
Video: Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Suphian Nkuwi akiwanadi wagombea wa serikali za mitaa kupitia CCM Kitongoji cha Ikungi, Novemba 23, 2024.
Suphian Nkuwi amesema CHADEMA imebarikiwa maneno...
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Momba kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fanuel Siyame akiwa katika ziara ya kuwanadi wagombea wa Vijiji na Vitongoji wa chama hicho katika...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwamba Mbowe, ambaye sasa amepewa jina Jipya la Mtu chuma, anaendelea na ziara ya Kampeni Mkoani Mbeya.
Hii hapa ni Kata ya Igawilo
Taarifa zingine zinaeleza...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya...
Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.