Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa? Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni...
2 Reactions
4 Replies
257 Views
Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni ukweli mchungu ila ndiyo ukweli sasa tutafanyaje,hao akina Mwabukusi, Maria,Fatma Karume,Nshala,Dk Slaa,Jebra Kambole,Sativa nk siyo wapiga kura wa Uchaguzi wa CHADEMA ni wapiga kelele tu za...
0 Reactions
4 Replies
191 Views
Nilimsikiliza kwenye mdahalo wake wakuaga uongozi wa kigoda cha Mwalimu Nyerere,imesoma ile hotuba yake mara kadhaa na kugundua kuwa sio bure Mwanataaluma huyu alitumwa na akatumika. Kwa msomi...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Katika muendelezo wa jinsi mwanasiasa huyu alivo muongo: Pia soma > Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late
1 Reactions
17 Replies
323 Views
Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif. Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali. Hii imetokea baada ya maalim...
5 Reactions
36 Replies
709 Views
Na Twahir Kiobya (The Man) Kipyenga cha nafasi ya uwenyekiti katika chama cha CHADEMA kimeshalia, na tunaambiwa kuwa kutakuwepo mdahalo wa wazi baina ya wagombea wa nafasi hiyo yaani Tundu Lissu...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Wakuu, Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha. Itoshe kusema kuongoza...
17 Reactions
89 Replies
3K Views
Wafanyabiashara wanadai kwamba licha ya Dola kushuka bei dhidi ya Shilingi ila upatikanaji Wake Bado ni mgumu japo sio sana kama miezi 6 iliyopita. Wakihojiwa na gazeti hili wamedai watajiri wa...
1 Reactions
30 Replies
590 Views
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli. Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza...
8 Reactions
84 Replies
6K Views
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Ndugu Isihaki Rashidi Mchinjita, ameeleza kuwa baraza kivuli litatumia mwaka 2025 kusimamia haki za wananchi, uwajibikaji wa Serikali na kupigania mageuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
208 Views
"Rushwa ukiitazama katika mfumo wa kijinai tunasema unapaswa uthibitishe pasipo na shaka lakini mkija kwenye upande wa chama kama CHADEMA, kwanza tunapaswa kujuwa kuwa CHADEMA ni tumaini la...
4 Reactions
25 Replies
550 Views
=== MBOWE HAJAONGOKA NA KUBATIZWA KATIKA DEMOKRASIA, UTAWALA BORA NA USTAARABU WA MWANADAMU Ukimsikiliza Mbowe katika Mahojiano yake na Salim Kikeke, unagundua huyo Mzee bado ni MPORI-PORI hajui...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini...
11 Reactions
98 Replies
8K Views
Hakuna anayeamini! Kikwete kwa Miaka kumi alishindwa kuizima CHADEMA na ilibaki kidogo Sana 2015 Akabidhi ofisi kwa upinzani. Akaingia Magufuli, yeye ndiye akatumia zaidi mabavu na alishakiri...
11 Reactions
91 Replies
2K Views
Mbowe ni Mkristo na anesema Ukweli kabisa kwamba alimsaidia Tundu Lisu kiuchumi Kwa muda mrefu Binafsi nafahamu Watu wenye Fedha wanavyoweza kuwatumia kiujanja Watu wenye akili. Hii ipo hata...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Nchi hii haishi vituko. Kuna kigogo mmoja wa Bunge, kawa dalali wa kampuni moja ya UAE anashinikiza jeshi la Polisi na wizara ya Mambo ya ndani kuingia katika mradi wa ubia wa dola milioni 700...
3 Reactions
16 Replies
613 Views
Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi. Masikini...
2 Reactions
17 Replies
797 Views
Ukichunguza sana, viongozi aina hii, wote huwa ni ndumila kuwili, mguu mmoja upinzani na mwingine chama tawala Ukifuatilia kwa umakini huu mtanange wa nani ni nani kati ya Mh. Mbowe na Mh. Lissu...
6 Reactions
20 Replies
475 Views
"Matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa wananchi, mwaka 2024 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya utekwaji, kupotezwa, na hata mauaji ya wananchi wasio na hatia, visa na takwimu ya matukio zaidi...
0 Reactions
2 Replies
241 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…