Kumepambazuka, nauona mwanzo wa safari mpya, safari ya kurejea kwenye njia itupelekayo kule kwenye nchi yetu ya ahadi, nchi yenye kujitegemea, ambayo watu wake hawapishani sana kimapato, wote wana...
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta...
Wakuu tumeshuhudia watu wakipigana vikumbo kugombea nafasi kadhaa ndani ya CCM na wengine kuhonga vitumbua ili tu wapate kuchaguliwa wajumbe wa mkutano mkuu au NEC mimi nataka nijue kuwa mjumbe wa...
MWIGULU NCHEMBA APASUA ANGA KIMATAIFA,SASA KUTIKISA MAREKANI NA UINGEREZA ZAIDI YA MWEZI MMOJA ---KUIMARISHA CCM KIMATAIFA,KUZUNGUMZA NA WATANZANIA KWENYE MATAIFA HAYO MAKUBWA DUNIANI.
CHADEMA...
Ukiniuliza nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015 nitasema ama Mpina, au Lisu,au Lema. Nawatazama viongozi hawa vijana kama alama ya mabadiliko kwa ustawi wa taifa letu. Viongozi hawa wapo wazi na...
Kinachoitwa pesa za Abdul na Lissu ni pesa zake za matibabu anazoidai Serikali, Abdul alikuwa anatumika kujaribu kusaidia kufanikisha zitoke. Hata hivyo ni jambo la kusikitisha katika nchi yetu...
Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi...
Mahakama imetengua uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania Oktoba 2019 dhidi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Twaweza, Aidan Eyakuze.
Imeamuru Idara ya Uhamiaji kukamilisha uchunguzi...
Wafuasi wa Tundu Lissu wamekuwa wakimtetea huyu 'masia' wao kuwa ni mkweli, kanyooka, penye nyeusi anaita nyeusi, ni msafi.
Lakini siku zinavyozidi kwenda inajidhiilisha Tundu Lissu sio mkweli...
Siku ya leo Rais Samia amezindua shule mpya ya Sekondari huko Bumbwini Zanzibar na wakati anazindua shule hiyo Samia ameomba shule hiyo iitwe Balozi Seif kwa ajili ya kumuheshimisha makamu wa...
Wanaukumbi.
Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa.
---
“Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za...
Wakuu
Yericko Nyerere ameandika;
Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi...
Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu.
Wenye wenu wivu mjinyonge.
Leo hii, kama upo ndani ya CCM, na una sifa zote, lakini ukachukua fomu kumchallenge Samia kwenye nafasi ya Urais au Umwenyekiti wa CCM, huo utakuwa ndiyo mwisho wako kisiasa ndani ya CCM.
Leo...
Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU...
Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu
Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani...
Wasalaam
Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla...
1. Imekua kawaida Watanzania kwenda kutibiwa India kwa Kodi za wavuja jasho.
2. Hizi gharama CAG anaweza kuzikagua? Maana tunapanda nao Emirates wao wakitanua Business class na wasindikizaji huku...
Mzee Freeman Aikael Mbowe amekuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka 21 bila ya uwepo wa ushindani kwenye nafasi yake. Na walionyesha jaribio la kutaka nafasi yake walitimuliwa kwenye chama kwa...