Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa...
Kwa Mara ya kwanza katika historia ya upinzani mgombea urais Tundu Lissu ameshiindwa kutoa ahadi ya hata KM moja ya barabara.
Maoni yamekuwa mengi kutoka kwa wapiga kura huku wengi wakidai kuwa...
Rais wa zamani Silvestre Ntibantunganya ambaye ndiye Mwenyekiti wa ujumbe wa waangalizi kutoka Afrika Mashariki, amesema kuwa uchaguzi mkuu Tanzania ulifanyika kwa kufuata taratibu.
Ujumbe wa...
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dodoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Niliahidi kuwa nitarejea JF baada ya uchaguzi Tuonane baada ya uchaguzi Oktoba 28 kwenda viwanjani, maofisini, vijiweni, mashuleni, vijijini, nyumba za ibada, nikisafiri kwa usafiri wa jamii...
Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna...
Nikiwa mwanaCCM kindakindaki nimepokea kwa furaha lakini kwa tahadhari kubwa haya matokeo ya Uchaguzi mkuu uliofanyika 28 Oktoba 2020.
FURAHA
Ni wazi Chama Cha Mapinduzi kilijikita kwenye kunadi...
Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais...
Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge.
Najiuliza:
¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake?
² Je...
1.Kususia uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika 24 Novemba 2019.
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika November 2019 ulikua msingi muhimu wa uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Octoba...
Askari walivyokamata mabegi ya kura zilizopigwa nje ya kituo na kutaka kupitishwa kwa njia za panya ndani ya vituo vya kupiga kura, wasema kuna defender limejaa mabegi ya kura kama hizo.
Hizo...
Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao...
Amani iwe nanyi watu wa Mungu!
Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha...
Wagombea wa udiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) katika Kata tisa kati ya 12 ambazo kura zimemaliza kuhesabiwa wametangazwa kushinda.
Akizungumza na mwandishi msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo...
The citizens of the United Republic of Tanzania will elect on 28 October their President, Members of the parliaments of the Union and Zanzibar, as well as local councillors. The European Union...
Ukweli mchungu ni kuwa shamrashamra zikishapungua, mwenyekiti wao bila kificho atawaambia kupitia umma kuwa sasa ni wakati wa kulipa fadhila. Haiingii akilini uwang'oe Mdee, Mbowe, Lema, Mbilinyi...
Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake.
Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali...
Waliojiandikisha jimbo la Geita ni watu 148,360
Waliojitokeza kupiga kura ni watu 49,700
Watu zaidi ya 98,000 hawajapiga kura
Uthibitisho ya kwamba, Watanzania walio wengi wamechoshwa na haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.