Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

CCM hawawezi siasa za ushindani, Wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho...
51 Reactions
129 Replies
8K Views
Nionavyo mimi miaka yote ya uchaguzi vyama hivi vimekuwa na kasumba ya kusubilia wagombea wazuri waliokatwa CCM hivyo kuwa mtaji mzuri wa kuwapatia vitu, Lakini mwaka huu imekuwa tofauti sana...
1 Reactions
10 Replies
954 Views
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25...
11 Reactions
4K Replies
289K Views
Wakati wa kampeni Magufuli alisikika akisema, nileteeni diwani na mbunge wa CCM, alikua na uhakika wa ushindi wake. Yale aliyosema yote yametimia. Majimbo karibu yote ya Tanzania yame pata...
23 Reactions
74 Replies
7K Views
Uchaguzi umeisha baada Watanzania waliojiandikisha kutumia haki yao ya msingi tarehe 28 October 2020 kuchagua Viongozi kupitia sanduku la kura. Tayari matokeo ya Ubunge,Udiwani na Rais yameenza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Awali ya yote, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza ndugu Bernard Camilius Membe na ndugu wakili msomi Tundu Antipas Lissu kwa kuaminiwa na kuteuliwa kupeperusha bendera za vyama vyao katika...
11 Reactions
103 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk Wilson Mahera amesema kuanzia leo usiku Jumatano Oktoba 28, 2020 tume hiyo itaanza kupokea matokeo ya kura za urais...
8 Reactions
69 Replies
10K Views
......YNWA..... Moderator FUTA HUU UZI. Please DELETE.
18 Reactions
56 Replies
5K Views
Wana bodi, Ni jambo la kushukuru kwamba tumeweza kupiga kura salama na kuendelea kupokea matokeo kwa utulivu. Vilevile ni vyema kuona kwamba wana siasa kwa kiasi ki kubwa, wameweza kuheshimu...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania yameanza kutoka tangu tarehe 29/10/2020 na Chama cha CCM kwa asimilia kubwa kinadalili ya kushinda ushindi wa kishindo. Vyama vya upinzani wakiwa wanabeza na...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini amemtangaza Mgombea Ubunge wa CCM kwenye Jimbo hilo Ummy Mwalimu kuwa Mshindi kwa kupata kura 114,445 sawa na 93.8% akifuatiwa na Mgombea wa CUF Mussa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma. Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
"SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI. Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa. Maendeleo hayana...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndugu Boniface Jacob usishangae sana, wala usione kama usaliti kuhusu pingamizi za wana ACT dhidi yako na wagombea nafasi zingine wa CHADEMA ndani ya Jimbo la Ubungo. Zitto analaumiwa bure tu kwa...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amesema atagombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020 na ana uhakika ataibuka mshindi. Sugu ameeleza hayo leo Jumatano...
10 Reactions
80 Replies
11K Views
Katika uchaguzi huru na wa haki, kila mpiga kura huwa na uhuru wa kuchagua mgombea yeyote anayeona anafaa lakini pia huwa huru kwa lolote ikiwa kura yake ameiharibu, amechagua kiongozi ambaye...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Ni dhahiri sasa Tanzania ya Kijani imewezekana. Na hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanyika ndani ya chama chetu. Viongozi wetu wametupeleka ng'ambo kusoma ili...
17 Reactions
102 Replies
7K Views
Mimi ni mmoja wa watu ambao wanaamini kwamba kama taifa, tulipaswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi. Sitazungumzia mambo ya kiufundi na ya...
49 Reactions
201 Replies
16K Views
Habari za jioni watanzania! Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Niliandika makala kadhaa hapa nikaonekana chizi, mara CCM, kumbe sina hata chama. Mm niliacha siasa baada ya Lowassa kukubali matokeo, bila action wala tamko wakati 2015 Watanzania walikua tayari...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom