Wana JF,
Tunashukuru Mungu uchaguzi wetu umekuwa huru na haki. Sasa maisha baada ya uchaguzi yameanza rasmi.
Neno linalotamkwatamkwa sana katika kipindi hiki cha maisha baada ya uchaguzi ni...
Kama misukule wa CHADEMA waliomo humu ndo wanaakisi fikra za viongozi wao wa chama, basi mimi Ngabu nasema sitaki kabisa hao watu washike madaraka.
Kwa nini nasema hivyo?
Kwa sababu hawa...
Hivi Ndugai au yeyote yule atakaye kuwa spika wa bunge atajisikiaje pale atakapoangalia kila upande bungeni hamuoni Mbowe, Sugu, Zitto, Lema, Heche na wapinzani wengine machachari?
Hakika...
TANGA: Mawakala wa CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF na NCCR-Mageuzi wakamatwa baada kuzuia wapiga kura kuingia kituoni kwa madai ya wao kutopewa barua
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda...
WanaCCM wezangu tujipongeze kwa matokeo mazuri tunayoendelea kuyapata katika viti vya Ubunge na Udiwani.
Kikwazo kikubwa kilichotuumiza kwa muda mrefu sasa tumekimaliza rasmi, kilichopo mbele...
Wakuu ndani ya Jamii forums. Wageni kwa wenyeji ni vema tukajiandaa kabisa kisaikolojiia na ikibidi kuweza kabisa kuanza mchakato wa kuwa na plan B.
Kadiri fukuto la uchaguzi mkuu linavyoanza...
Wakuu Salaam:
Mawakala hua ni sehemu ya uchaguzi katika kuhakikisha upigaji na utaratibu wa kuhesabu kura unaenda kwa Uhuru na Haki.
Mawakala wa Chama husika wanatakiwa kuhakikisha kura...
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu...
CCM inakwenda kukamilisha kazi mpaka muda huu Lissu amebaki kupiga kelele na kuvuta pumzi za mwisho kabla CCM haijatangazwa mshindi wa kishindo,makamanda wamekazana kulalamika twitter tu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya...
Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Mapema leo, mgombea wa ubunge Arusha mjini kwa ticket ya CCM alikua anarudisha fomu yake kwa msimamizi wa uchaguzi Arusha.
Pamoja nae ameandamana na mgombea wa viti maalum bi Catherine Magige...
Jimbo la Moshi Mjini lililoko Moshi mkoani Kilimanjaro limekuwa chini ya CHADEMA kwa muda wa miaka 20, kuanzia mwaka 1995.
Katika Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 Antony Komu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225.
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.