Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya?
Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni...
Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni...
Katika pitapita zangu nimeona wafauasi wa CCM karibu nchi zima wanafurahia kuanguka kwa wapinzani nguri wa Tanzania kama vile HECHE,MDEE,ESTHER, LEMA,SUGU,MBOWE,MSIGWA,na wengineo.
Hawa viongozi...
Nimesahau, nadhani. Hivi lini watanzania tumedai haki zetu?
Lini wahusika tumewahi kupambana?
Watanzania lini tumefungua midomo yetu, tukatoka nje kwetu na kwenda kudai haki zetu?
Au hiyo kazi ya...
WanaJF,
Katika hali ambayo ilikuwa inatarajiwa na wengi ni kwamba Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai kupitia tiketi ya CHADEMA ambae pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amegaragazwa vibaya sana kwa...
Imani tuliyonayo watanzania kwa jemedari wetu wa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na uzembe ni wa kiwango kisichotiliwa shaka yoyote hususani kwa tukio lilipo mbele yetu la...
Fred Lowassa ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Monduli jijini Arusha.
======
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Monduli...
Tumuweke kwenye kundi gani huyu anayejipambanua kama jasusi mbobezi? Tukimuita laghai wa kisiasa tutakosea?
Majuzi ameita press conference na kujinadi eti atafunga bao la dakika 89!!! Hivyo hilo...
Kila siku nikifuatilia nyuzi hapa JF nakutana na nyuzi nyingi zikimzungumzia Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe askofu Josephat Gwajima.
Nabaki najiuliza kwa majimbo yote ya Tanzania na hata majimbo...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Songwe. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu...
Kama wote tulivyoshuhudia tangu siku ya kwanza maandalizi ya zoezi la upigaji kura, hadi sasa kinachoendelea ni kituko ambacho hata dunia huenda imepigwa butwaa.
Mawakala wa upinzani kufanyiwa...
Kwanza nitasikitika kwasababu naipenda nchi yangu hivyo Kama mzalendo na agent wa maendeleo siwezi kufurahi kuona nchi yangu inadumaa kwa kukosa mawazo mbadala.
Pili nitafurahi wapinzani makini...
Leo alipokuwa anatoka kanisani aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alifanya mahojiano na channel ya mtandaoni inayoitwa Sauti za watu maarufu na kuulizwa anaona "Je ni kweli Lissu...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa...
Siku chache mara baada ya Tume ya Taifa ya uchaguzi kumzuia kufanya mikutano ya hadhara Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo ndugu James Francis Mbatia kwa ajili ya kampeni za kuomba kura, sasa ndugu...
BREAKING NEWS: Adhabu iliyokuwa inamkabili mgombea ubunge wa Jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama ndugu James Francis Mbatia ya kutokufanya mikutano ya hadhara kwa ajili ya kampeni imetenguliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.