Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba...
Leo tarehe 15/04/2017 Umoja wa Kizazi cha kuhoji nchini (UTG) umefanya mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo sakata la kupotea kwa ndugu Ben Saanane (Katibu mkuu wa...
Kwamfano,
Nani anaweza kumuamini Dr. Slaa kwasasa au kushawishika na aina ya siasa zake, maoni na mtazamo wake uloshikiliwa na diasporas, Lakini pia maisha ya kisaliti kwasababu tu ya tamaa za...
Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu
Na:Abdull Najad Faiq
Unapo zungumzia Tanzania huwa ina maana 2 tofauti kulingana na katiba ya Jamhuri Tanzania ni jina lililopatikana baada ya kuungana kwa nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar...
Nauliza tu ndugu Zangu maana miye ni mgeni hapa Kilombero Arusha
Gambo anesema Vikao vyake viko bungeni ndio nawaulizeni machalii wa Arachuga huyu Mwamba siyo diwani?
Nimekaa pale 🐼
wadau wa ujenzi nawaomba munipe makadirio idadi ya mbao za 2*2 na 2*4 za kuweza kupaua mapaa manne nyumba yangu ya vyumba 5 na sebule na korido katikati yaani upana feet 24 na urefu feet 38...
Kuna yule Mama kakataa Gari la mwanaye na kuliita ni Jeneza, kwani anayajua matendo machafu ya Mwanawe!!.
Embu tuvirejee vifoo vya makamanda huko nyuma tukianza na Wangwe !!.
Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani...
Ntobi, mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga na Kijana mtiifu wa Mbowe ameendelea kushambulia wasiomuunga mkono Mbowe.
Safari hii anasema kuwa John Heche hawezi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa...
Habari zikufikie kwamba Paul Makonda amebadili gia angani sasa sio Kigamboni tena bali Arusha.
Makonda hawezi kugombea willaya aliyozaliwa maana kwenye kampeni itamletea shida, wapinzani wake...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU MWENENDO NA ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA LA ZANZIBAR
(2020-2024) "UNAPOSHINDWA KUHESABU, UTASHINDWA KUDHIBITI"
Tarehe 7 Januari 2025, ACT Wazalendo inatoa taarifa rasmi kwa...
Ukraine imeandikisha mauzo ya bidhaa za Kilimo Nje ya Nchi Zenye zaidi ya Dola bil.24 ikikaribia rekodi ya kabla ya vita mwaka 2021.
Wazungu ni watu wenye akili sana.Just imagine vita ilivyopamba...
Anaandika Remigius Celestine Mjumbe wa Secretarieti CHADEMA Makao Makuu.
===
Mjumbe Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na wanachama wote nawasalimu kwa salaamu ya Chama.
Bila kukupotezea Muda naomba...
Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga...
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.
Ameeleza...
Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa...
Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme
Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu...