Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi.
Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya...
Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Hizo ndio hesabu zinapigwa Chadema kwa sababu Nyota ya John Heche inang'aa Sana
Hivyo anaangaliwa nani ni Pacha wa Heche Kati ya Mbowe au Lissu
Wenje na Mahela yake Mfumo umemtupa nje bila...
Wakuu,
1. Festo Sanga - MBUNGE WA MAKETE
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu:
Shule ya Msingi ya Bulongwa (1996-2002, CPEE)
Shule ya Sekondari ya Mwakavuta (2003-2006, CSEE)
Shule ya...
Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi.
Kuna daraja liko...
Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli...
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.
Paul...
John Heche akiongea na Waandishi wa habari leo Januari 05, 2024 amesema Tundu Lissu anayewania nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA hajakivua nguo chama hicho bali anawataja wala rushwa walio...
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
By Beldina Nyakeke
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi...
Kama Mbowe peke yake aliweza kumkata Dr Slaa na kumleta mzee Lowassa kugombea Urais Chadema mnafanya Uchaguzi Ili iweje?
Kama Mbowe peke yake alienda kwenye Maridhiano na CCM ni nani mwingine...
Viongozi wakuu wa kisiasa nchini Tanzania, ukiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni vyema kutafakari kwa kina kuhusu urithi wa uongozi wenu kwa taifa hili.
Siku ya ukomo wa uongozi...
Heri ya Krismas.
Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa...
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka...
Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?
Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye...
Wakati maalim seif aliposhindwa vita vya kisiasa na Lpumba alitumia msemo huu, "shusha Tanga, pandisha Tanga"
"ulipo tupo"
Hili alifanikiwa na kumwachia jengo tupu Lipumba. Leo Zanzibar yote cuf...
Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM...
Kila mtu anahaki kupenda anachotaka. Wazungu wamesema
Everyone has the right to love what they want.
Lkn kitendo cha kujitosa mzima mzima tena kwa nguvu sana ktk uchaguzi wa chadema kipindi hichi...
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute...