Wakuu,
Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki!
Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa...
Pamoja na kwamba Raia hajaeleza wataanza lini kununua na kutoka Nchi gani na kwamba Je umeme wetu gunaozalisha hautoshi au laa ila taarifa zisizo rasmi ni kwamba umeme utanunuliwa kutoka Ethiopia...
Katika taarifa yake kwa Umma Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CPA Amos Makalla ameliambia Taifa kuwa CCM itafanya Vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Jijiji Dodoma na Vikao vyote hivi...
HUU NI MJADALA NILIO UKUTA BAINA NA WAKATA TIKETI NA MAENEO FULANI HAPA NCHINI.
Mfumo/Mtindo wa Uongozi barani Afrika miaka na miaka ulikua ni mfumo wa kikifalme na kichifu ambao ulikua umejikita...
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana...
Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua...
Wanabodi
Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu.
Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema...
Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na...
SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI
Anaandika, Robert Heriel
Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge...
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania
Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha
Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati...
SIKU YA WANAWAKE YAWA AGENDA ILIYOPORWA NA MFUMO MPYA WA KITABAKA NDANI YA TABAKA
Ni muhimu kurejesha mwelekeo wa siku hii ili uweze kutumikia lengo lake la awali la kutetea haki za wanawake...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu alivyoingia na kupokelewa kwa shangwe Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ndiye...
Anatia huruma sana,
Kadiri anavyojitahidi kujipambanua, kujieleza na kujenga hoja juu ya mambo mbalimbali nchini, anazidi kutia huruma zaidi. Reception yake ni passive mno kwa wanachadema.
Huenda...
Habari Wana JF kama kichwa kinavyosema :
Kutokana na sera mbalimbali za CDM kugonga mwamba jamaa bado hawajakata tamaa.
Je? Nini kipo nyuma ya pazia.
Muunganiko wa chama Cha walimu wasio na...
Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa...
Wanabodi,
Huku nikiisubiri kesho kwa hamu kushuhudia akili za wanawake kwenye kilele siku ya wanawake duniani hapo Machi 8, huku nikitafakari mwelekeo na mustakabali wa siasa zetu za hapa nyumbani...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa...
Wanabodi,
Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri,
Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all...
Kampeni ya Mama asemewe imeadhimisha sikukuu ya Wanawake mkoani Mwanza kwa kuandaa Kongamano kubwa la BINTI WA LEO, SAMIA WA KESHO ambapo lilikusanya takribani Mabinti 2000 kutoka Vyuo mbalimbali...