Mara nyingi binadamu Ana hulka ya kupenda mabadiliko bila kujua athari za mabadiliko hayo, mfano tu katika ndoa, utaona mwanaume Ana mke mzuri sana had watu wanamtamani nje huko apitapo lkn yeye...
Wanabodi,
Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Leo kuna maneno mazito sana rais wetu...
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.
Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na...
"Siku kadhaa zilizopita ndugu zangu nchi yetu imepata msiba wa kuuawa kwa mmoja wa kiongozi wa CHADEMA, kifo kilichosisimua miili na akili za Watanzania na kuibua hisia kali hasa kwa wawakilishi...
Tofauti na viongozi wengine wa kisiasa nchini ambao hawakubaliki kwa wananchi kwa kukosa hoja na ushawishi wa mipango na sera za kimaendeleo ispokua vyeo tu,
Dr.Samia Suluhu Hassan anatumia...
Kwa kifupi.
Tumefika na tupo hapa Mkata kutokea Namanga kwenda Dar Es Salaam.
Tumeshuka na kukaa ili kukusubili wewe na msafara wako upite. Hii kitu imenipa wakati mgumu sana kuwaza na kutafuta...
HAKUNA NABII NA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJIINGIZA KWENYE SIASA AKASHINDA PASIPO KUWA MPIGANAJI WA VITA. MANABII WENGI WALIOINGIA KWENYE SIASA WALIUAWA KWA SABABU HAWAKUWA WARRIOR
Anaandika, Robert...
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika...
Wakuu,
Nimekutana na video ya mke wa Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed akielezea namna ambavyo polisi walimkamata na...
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]
MAKAO...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya...
Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC...
Rais wangu Samia Suluhu Hassan anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T | SG kwa TZS 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania,
" Hakuna...
Wanabodi,
Kwanza angalieni hii picha
More than 60% of Rwanda’s parliamentarians are women. Photo: Sam Ngendahimana
Nimesoma kwenye Ripoti ya WB, Bunge la Rwanda ndilo Bunge linaloongoza Dunia...
Wakuu,
Baada ya kuchoma vitenge vya Rais Samia, siku ya leo Mnyika amesema wazi kuwa BAWACHA wanatakiwa kuirudisha rasmi ile tuzo ambayo BAWACHA walimpa Rais Samia.
Mnyika kwenye maadhimisho ya...
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao...