Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda leo Jumatatu ya Machi 03, 2025 akiwa ameambatana na Waziri wa ardhi Deogratius John Ndejembi kutembelea mabanda kwenye maonyesho ya wiki ya mwanamke Jijini...
Muasisi wa Chadema mh Mtei ameupongeza Uongozi mpya wa Chadema Chini ya Tundu Lisu na John Heche
Mtei amesema hayo Wakati wa mazungumzo yake na makamu Mwenyekiti wa Chadema mh John Heche na...
Wakuu
Mamia ya Wananchi wa kijiji cha Kiloleni-Busega wamejitokeza Kumlaki Mhe. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa, John Heche akiwa njiani kuelekea Lamadi huko Simiyu kwenye Mapokezi baada ya...
Wakuu,
Leo tarehe 06 Machi 2025 Makamu Mwenyekiti Bara wa CHADEMA John Heche na Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Gulogwa wamefika nyumbani kwa marehemu Prof. Phillemon Mikol Sarungi kutoa pole kwa...
Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli...
Wanawake mkoani Katavi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi Mkuu ikiwa ni moja ya kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa ili kuleta usawa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi...
John Pombe Magufuli ni rais ambaye amesifiwa sana ndani na nje ya nchi kutokana na sera zake za Tanzania kwanza, hapa kazi tu, kupiga vita rushwa, kubana matumizi, kujitegemea, kuziba mianya ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila amenukuliwa akisema " Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia kuyafikia na...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wamewataka wataalamu wanaosimamia mradi wa Hosteli ya Shule ya Sekondari Mbalawala mkoani humo kuhakikisha bweni hilo...
"Vijana waliobahatika kuwa na nafasi katika siasa hawapo tayari kuwasaidia vijana wenzao, maaduni wa vijana kushindwa kutoboa ni vijana wenzao, vijana wajitambue wasitumike kama machawa"
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati, Devotha Minja amesema ni sahihi kuweka utaratibu wa ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu.
Devotha aliyewahi kuwa...
By Maulid Mmbaga , Nipashe
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban...
Wakuu wa wilaya za mkoa wa Tabora wameiomba serikali kuwajengea nyumba za kuishi pamoja na ofisi zao, wakieleza kuwa kwa sasa wanatumia majengo chakavu na ya zamani. Baadhi ya majengo hayo hujaa...
Hujawahi kuwa na Mamlaka hayo, Huna na wala hutokuja kuwa nayo.
Wewe endelea na porojo zinazohusu chama chako tu.
Tumeona tukukumbushe hili mapema kabla hujaendelea kupotosha zaidi.
No Reform...
Wakuu,
CHADEMA msijichanganye kumuweka mtu mwingine kugombea nafasi ya Urais CHADEMA zaidi ya Godbless Lema.
Tundu Lissu ni maarufu ndio lakini linapokuja suala la kuwa Rais, Godbless Lema ni...
Kiukweli binafsi sielewi hii kamati ina umuhimu gani kwa taifa hili naona kama ni kajitaasisi ulaji kameundwa ili kulinda maslahi ya watu Fulani hivi.
Watanzania tunataka kuridhiana kuhusu kitu...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo...
Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya uandikishaji wa watu watakoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, CHADEMA wanahamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha lakini CCM wanaendelea kuimarisha mbinu zao...