Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete,
Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama...
Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone...
Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala...
Mratibu wa Kitaifa wa Umoja wa Wanawake Wanasiasa (Ulingo), Dk Ave- Maria Semakafu amesema anatamani wanasiasa wanaochipukia ndio wapate ubunge wa viti maalumu ili wazoefu waende majimbo...
RAIS AU MFALME KUFANYWA MATEKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mnaweza kumlaumu Rais au Mfalme wa watu. Mnaweza kumzodoa Mtawala wa watu. Mnaweza kumchukia Kiongozi wa watu. Maskini! Kumbe...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Zanzibar, Asha Bakari Makame amefariki dunia leo huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Taarifa zilizothibitishwa na...
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako...
Watu hatuna maji yeye analeta story za uchaguzi. Tuliambiwa kuwa hapo ikulu alikufelisha na wewe ukaamua kuturushia huku Kisarawe huku ni majanga kabisa .
Hapa Kisarawe wilaya nzima hatuna maji...
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Mchinga na mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, amesema kuwa moja ya kumbukumbu asizoweza kusahau maishani mwake ni wakati wa kuhesabiwa kura...
Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.
Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda...
Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema...
Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya...
"Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi...
Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja.
Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie...
Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi π₯Ίπ€ππΏββπ
Habari zenu wakuu,
Tukubaliane tu kwamba utalii unatutangaza, unatuingizia fedha za kigeni, kuinua uchumi na kutoa ajira. Lakini utalii usiposimamiwa vizuri madhara yake ni mtambuka na ni makubwa...
Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo.
Kupata taarifa...