Wakuu
Mawaziri wakisakata rhumba :BRUHMM:
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
RC Zainab ametoa...
Hata kampuni moja ya ndege iliyokuwa inakwenda Chato, mara moja kwa wiki, sasa imesimamisha safari zake.
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben akijibu swali la...
Wakuu,
Mwanasiasa John Mwanga (78), aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025.
Mwanga, ambaye aliweka historia...
Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura...
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi.
Amesema pia...
Prof. KITILA MWANASIASA MSOMI ,SOMO JEMA KWA WASOMI NCHINI.
Profesa Kitila Mkumbo ambae aliwahi kuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa...
ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA
Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amemsifu Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, kwa kujitoa kwa wananchi licha...
Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa.
Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kutafutwa aliko Mbunge wa Jimbo la Mwibara Charles Kajege kufuatia Mbunge huyo kutohudhuria vikao vya kujadili maendeleo vya huo toka apate ridhaa...
Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu:
Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea...
Sekretarieti ya Mkoa Wa Kagera Ikiongozwa na Katibu Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Kagera Imeanza Ziara ya Kukutana Na Wazee Wa Wilaya Zote zilizopo Mkoani Kagera Kwa Lengo
Akiongea na...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa ameeleza kuwa makosa yanayofanywa na serikali yanawapa wao (wapinzani) nafasi ya kutambulika dunia nzima, mathalani yeye kufungwa kwake...
Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali...
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe...
Yaani nicheka sana 😂😂😂😂😂
Kwamba Kalemani hajui kwamba huko hakuna faida Kibiashara ndio maana ndege zimeacha Kutua?
====
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka...