Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.
Lengo lake lilikuwa ni nini...
Wakuu nafikiri wote tumesikia kuwa wagombea kadhaa wameenguliwa kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kile kinachodaiwa kutokuwa na shughuli za kuwaingizia kipato...
Katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, Mkoa wa Arusha, wagombea tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameondolewa kwenye mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27...
Na; John Marwa
Siku chache kabla ya siku ya uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa chama kikuu cha upinzani nchini yaani Chama cha Demokrasia na...
Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024.
Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob (Boni Yai) akizungumza na wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam katika uchaguzi wa serikali za mitaa...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA...
Novemba 8, 2024, madiwani 10 wa vyama vya upinzani wa Halmashauri ya Mtwara wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani.
Hatua hiyo inatokana na kile wanachoeleza kuwa kutokubaliana na maamuzi ya...
https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ
Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya...
Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika...
TAARIFA KWA UMMA
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa jana Novemba 08, 2024 akizungumza Waaandishi wa Habari jijini Dodoma alisema kuwa wagombea walioenguliwa wakate rufaa na kuwa...
Katibu Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumaliza migogoro iliyopo ndani ya chama chao.
Amos Makalla...
Tangu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, sijaona viongozi wa CHADEMA wakieleza mkakati wa kushiriki na kushinda uchaguzi huo. Badala yake, wamejikita kwenye malalamiko dhidi ya...
CCM hawana jambo dogo, nyinyi mnajitoa wao na vyama vingine wanashiriki uchafuzi huo. Kwa kuwa vyama vingine hivyo havina nguvu ya kupambana CCM vinajikuta vimesaidia ccm kuingia madarakani...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:
"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea...
ASKOFU ATATIZWA SABABU ZA KUTEULIWA WAGOMBEA WA CCM NA KUENGULIWA KWA WAGOMBEA WA CHADEMA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Ndugu Watanzania!
Tumeletewa malalamiko yafuatayo kuhusu uteuzi wa majina...
Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini.
Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa...
Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.