Wakili wa kujitegemea Mahinyila ameenguliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Berege, kilichopo kata ya Berege, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma kutakana na kile kilichoelezwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa ni kuanzia tarehe 26 Oktoba...
Wakuu,
Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu...
Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni...
"Mtia nia wa mtaa wa Mji Mpya uliyopo kata ya Kwembe Jimbo la Kibamba amekatwa kwa sababu tu aliandika kazi ni mjasiriamali, hivi kwani jamani ujasiriamali siyo kazi? Kwenye mtaa huu ameteuliwa...
Ni vilio kila kona kutokea Serengeti hadi Kilosa makamanda wanadai Majina yao yamekatwa kugombea Uongozi wa Serikali za mitaa
Kupata vimbwanga vingine wakati wa Uchaguzi ingia hapa: Uzi Maalum wa...
WAGOMBEA 30 wa nafasi Uenyekiti kupitia Chama cha Wananchi( CUF) katika Wilaya ya Kinondoni wameenguliwa kugombea nafasi hiyo kwa madai ya kushindwa kujaza anuani kwenye fomu za kugombea.
Nipashe...
Kutokana na sintofahamu zinazoendelea nchini za kibaguzi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, Nina ombi moja kwa Viongozi wa serikali na chama Cha CCM wafanye jambo moja ili tuondokane na hii...
Wakuu,
Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.
Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile...
Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X;
"Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha...
Wakuu
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X ameanika taarifa hii kutoka huko...
Wakuu,
Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma na Naibu Waziri kivuli wa Fedha, Mipango na Hifadhi ya Jamii ACT Shangwe Ayo kupitia ukurasa wake wa X ameweka taarifa hii, inaonekana...
Wakuu,
Moto unazidi kufuka.
====
"Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo.
"Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri...
Wakuu,
Naona tunarudi 2019 ki style, chupa imebadilishwa tu design lakini kamnyweso ni kalekale.
====
CHADEMA Wilaya ya Dodoma Mjini kimedai kubaini taarifa za wagombea wake kuenguliwa katika...
Chama cha ACT Wazalendo kimejiandaa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji kwa kuhakikisha tuna wagombea wa kutosha. Taarifa tunazozipokea zinaonesha kuna hujuma kubwa...
MAKALLA AMPONGEZA LISSU KUKIRI CHADEMA HAINA WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amoss Makala amesema Chama hicho Kipo tayari na...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.