CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa...
Mimi kama mwanakijiji nataka Mwenyekiti aliyewiva katika kuzijua kanuni mbalimbali ...sitaki mwenyekiti mshari au lialia.
Sasa kama unahisi umeonewa onesha weledi wa kupambana kupitia kanuni sio...
Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu.
Chama kisichofuata...
Wakuu, safari hii mambo ni moto kwelikweli! Ripota wenu, Cute Wife, kama kawaida nawasogezea taarifa ili siku ya kupiga kura mfanye maamuzi sahihi.
Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi wa...
Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe...
Katika hali isiyo ya kawaida vyombo vya habari za Tanzania vimeripoti malalamiko ya Vyama vya upinzani kuhusu kuengeliwa kwa wagombea wao lakini hakuna chombo kilichothubutu kuhoji wagombea...
Watanganyika wenzangu
Sasa hivi kuna malalamiko kuwa wagombea wengi wa CHADEMA na wa vile vyama vya CCM B wameenguliwa kugombea. Katika kurafuta ufumbuzi baadhi wanashauri CHADENA na hivyo vyana...
Sijawahi kuona umuhimu wa nafasi za wanyeviti wa wa serikali za mitaa katika mabadiliko au maendeleo ya nchi, kikubwa ninachokifahamu kama sehemu ya majukumu yao ni kugongea mihuri watu tu...
Nimekua nikifuatilia taarifa mbalimbali za uchaguzi wa Serikali za mitaa tangu uandikishwaji wa wapiga kura hadi kufikia sasa wakati wa wagombea kuteuliwa.
1. Wakati wa uandikishaji yalikuwepo...
Wasalaam.
Naliwashauri hapa hapa kabla hata zoezi la kuandikisha wapiga kura halijaanza. Niliwasihi chadema wasithubutu kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na chaguzi nyingine mpaka...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika;
"Taifa...
Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Boniface Jacob amesema mkoa wa DSM una Mitaa 636 na Wagombea wa Chadema 571 wamekatwa na kubaki 45 tu
Watanzania Kwa Umoja wenu mnaombwa kuiombea Chadema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimewaalika waandishi wa habari katika makao makuu ya Mikocheni kutoa tamko kuhusu hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa nchini...
Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa?
Pia soma
- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku...
Wakuu,
Hilda Newton wa CHADEMA aandika haya kupitia ukurasa wake wa X
"Askari Polisi wenye silaha za moto, wakitumia gari la Mkit wa Halmashauri, wamefika Kata ya Machame Narumu, saa 11:20 jioni...
Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo...
Akizngumza na wanahabari leo, Ijumaa Novemba 08, 2024 makuu ya Mikocheni ya CHADEMA, John Mrema ambaye ni Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA ameeleza kushangazwa baada ya...
Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa.
Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.