Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine...
Mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu, keshokutwa Jumanne tarehe 13 Oktoba, ataenda kupiga kampeni kwenye ngome ya Rais Magufuli huko Chato.
Pia, kwa mujibu wake yeye mwenyewe, kabla ya...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama ch ma Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesikitishwa na kupokea kwa tahadhari kubwa matukio yanayotishia uvunjifu...
Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi...
Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaonya baadhi ya wanasiasa nchini kuacha kuwatumia vibaya wananchi hususan vijana hasa katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea kwenye uchaguzi...
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA: Tundu Lissu amesema watatengeneza nchi huru na yenye haki. Nchi ambayo hakuna kiongozi atakayeogopwa kuliko Mungu.
Amesema kia mtu anahitaji haki na kila mtu...
Tukiwa tunajiandaa kuchagua viongozi wetu wa kutuwakilisha bungeni awamu ijayo, tunatakiwa kutafakari baadhi ya matukio yaliyotokea Bunge la awamu inayomaliza muda wake.
Huu ndyo muda wetu sisi...
Hatimaye zimebaki wiki mbili kufika tarehe 28 twende tukapige kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Siku hiyo ni siku ya muhimu sana kwa watanzania na inatupasa tuitumie vyema kuandika historia...
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.
Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za...
CHAMA cha Tanzania Labor Party (TLP), kimeibuka na kusema kuwa bado kina nia ya kumuunga mkono mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao.
Kimesema Ofisi...
Kuna msemo wa wahenga usemao kuwa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza......................
Kwa namna CCM ilivyosambaza mabango nchi nzima, wakati wapinzani wao wa kisiasa, vyama vya upinzani...
Na Debora C. Kiyuga ✍🏽
Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi, hususan wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiliamali na bila kusahau...
Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Kuaminika kwa mamlaka zote zinazohusika kwenye mchakato huu wa uchaguzi ilikuwa jambo la muhimu sana kwa amani yetu. Yote ni tisa, kumi ni kuaminika kwa tume ya...
Watu walitegemea makubwa katika ujio wa huyu muheshimiwa asiyeshaurika kabisa. Kama angejipanga vizuri kwa hoja nzuri, Tafiti na Kuzuia hasira alikuwa na nafasi ya kushinda kwenye UCHAGUZI lakini...
Kwa upande wa Watumshi wa Umma,Bajeti hii iliopita jana inamanisha jambo moja kubwa sana kwao nalo ni kubaki na mshahara ule ule wa tangu mwaka wa fedha wa 2015/2016 ulioanza July, 2015 na...
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo ni nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?
Hii inanipa ukakasi...
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameahidi kuimarisha biashara katika mkoa wa Tanga, kufufua viwanda vilivyokufa pamoja kutoza kodi rafiki kwa wafanyabiashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.