Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama...
Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza.
Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka
Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera,
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Dodoma,
YAH: KUENGULIWA...
======
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John...
Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
=========
Mgombea Urais wa Jamhuri ya...
Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala...
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja...
Leo nitazungumza sana siasa za Ubunge. Ukicheza vibaya hasa katika siku kumi za mwisho unaweza kuambulia 0 na ukicheza vizuri unaweza kushinda sana.
Siasa ni sawa na masomo ya darasani hasa kwa...
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa...
Habari wakuu,
Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki.
Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini...
Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.
Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule...
Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake
Wanavyuo kutoka Muco,Stefano...
Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and...
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na...
Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono.
Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa...
Mcheza kwao hutunzwa.Ndivyo tunavyoweza kuelezea mapokezi ya Tundu Lissu hapo Jana alipokanyaga Ardhi aliyozaliwa.
Leo Mgombea huyo anayepewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda atafanya kampeni zake...
Hivi karibuni Ofisi ya Msajili wa vyama ilivitetea Vyama vya TLP na UDP kuwa baada ya kuonywa vilisitisha mpango wao wa kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa vile ni vyama sikivu.
"Kwa hiyo vyama...
Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana.
Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na...
Kampeni za urais zinaendelea na leo mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi, Dkt yuko Urambo. Kwa sasa aneongea ni Magreth Sitta na anawaombea kura madiwani, Rais na yeye mwenyewe kwenye nafasi...
Uchaguzi huu unaenda kuwasha moto nchini..
Tangu Mwanzo watu wamekuwa wakihoji Wapiga kura milioni 29 Tume iliwatoa wapi? Kwa sababu Kwanza muda wa kujiandikisha ulikuwa mfupi sana na Zoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.