UNAHITAJI KUWA MUONGO KAMA COMICAL ALLY KUSEMA TINDU LISSU ATASHINDA MBIO.
Leo 20:45hrs 12/10/2020
You need to be Chemical Ally to say that Tindu Lissu will win the marathon😀Comical Ally fooled...
Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine...
Mimi ni mmoja kati ya wale wachache ambao tulikuwa tunafikiri TUNDU LISSU SIO PRESIDENTIAL MATERIAL KAMA AMBAVYP TULIFIKIRI JPM SIO PRESIDENTIAL MATERIAL.
Baada ya kufuatilia kauli na mwenendo wa...
Kwa mfululizo wa vitendo vinavyotoa sauti, kuonwa na kusikika na kila mmoja na mfululizo wa takwimu zilizoshiba alizozifanya Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa miaka mitano tu ya uongozi wake...
Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao.
Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia...
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya Mgombea Urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikiliza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini...
Tazama nalikuwa usingizini naam usingizi wa maono. Tazama malaika muona vionwa akanijia na kunichukua mpaka uwanda wa juu wa nchi.
Akaniambia tazama, nami nikawaona wanaume wa nchi wenye nguvu...
CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.
CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa...
Na. Egla Mamoto
Wakati Serikali Ya Awamu ya Tano Ya Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli ikilaumiwa na Baadhi ya wapotoshaji eti imejikita katika ujenzi wa Uchumi wa Vitu Badala ya Uchumi wa watu...
Na Thadei Ole Mushi
Kuna siku niliwaambia wenzetu huko nje wakiona wamepata kiongozi mwenye maono huwa hawamwachii kwa haraka.
Niliwahi kuwaambia kuwa Urusi wao kwa kutambua Mchango wa Putin...
Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa...
Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli?
Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba...
Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa...
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua...
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.
√ Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√ Watumishi wanalia na nyongeza...
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.
Leo Oktoba 07, 2020 Mgombea urais wa JMT Tundu Lissu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Ambassador Donald J. Wright. Balozi wa Marekani nchini Tanzania...
Ni wazi CCM mpya inatumia uharamia kushinda nafasi za ubunge na udiwani katika Kanda za Mashariki, Kusini, Kaskazini na visiwani kwa kujua wazi hawawezi kushinda kwenye box la kura.
Kanda ya ziwa...
Kada ya watumishi ndiyo injini inayoendesha na kutekeleza kazi za serikali.
Wanasiasa wote hata wanapojibu vizuri maswala mbalimbali basi majibu wanayatoa kwa watumishi wa Umma.
Watumishi wana...
Yaani sijajua how come Serikali inaanza kuuza dawa yaani inafungua maduka ya kuuza dawa.
Badala wajikite kuweka mifumo bora ya afya ikiwemo Bima wao wanakimbilia kuanzisha maduka ya kuuza dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.