Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Zimebaki siku 20 tufikie uchaguzi. Hali ya mambo ni kuwa Tundu Lissu, Le profeseli Lipumba na wengine wengi akiwemo mzee wa mtama ni wazi kuwa hawa watu wamesanda. Watu hawa wanashindana ili...
23 Reactions
142 Replies
10K Views
Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa...
25 Reactions
118 Replies
10K Views
1. Kuna watu kujiandaa kukabidhi, 2. Kuna watu au viongozi kuhakikisha mahesabu na record zingine zimekaa sawa, 3. Kuna kuhakikisha atakaye kabidhiwa hata lipiza kisasi, 4. Kuna kuhakikisha...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
48 Reactions
141 Replies
14K Views
Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu...
31 Reactions
111 Replies
13K Views
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikifanya manunuzi mbalimbali ya vifaa vya Uchaguzi bila...
20 Reactions
160 Replies
16K Views
Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza. Huyu bwana...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Leo nilienda safari ya kumtembelea rafiki yangu ambaye yeye na mke wake wote hawana smart phone. Nilipofika nikamkuta mke wake na wageni akanieleza aliyoona jana wakati anaenda Kibaha. Anasema...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Soka ndio mchezo unaopendwa zaidi na watu wengi hapa Tanzania. Mchezo wa soka hauna itikadi, lakini chini ya utawala wa CCM, mchezo wa soka umelazimishwa kuwa wa kiitikadi za kisiasa. Kwa uchache...
1 Reactions
2 Replies
716 Views
Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya. Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga...
41 Reactions
101 Replies
11K Views
"Nikienda kupata ridhaa na kura zenu za kutosha tarehe 28 nawaahidi kurudisha kiwanda cha kuzalisha gas hapa mtwara ili watoto wetu, vijana wetu nao wanufaike na rasimali hii Mungu aliyetuzawadia...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara "Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
TAARIFA: Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea...
7 Reactions
94 Replies
7K Views
Kwa muda mrefu,sikuwa ninafuatilia masuala ya siasa na hasa za upinzani kutokana na nature ya shughuli zangu nizifanyazo za kila siku,kiukweli nafasi yangu ni ndogo na hata ikitokea nina nafasi...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya...
2 Reactions
6 Replies
937 Views
Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa...
12 Reactions
70 Replies
5K Views
HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili tuelewane sote tunahitaji kupata majibu, ufafanuzi na kuelimishwa maana haijawahi tokea tukapiga kura siku 2 tofauti, tunauliza tume ya uchaguzi je, 1. kura zitahesabiwa siku hiyo hiyo ya tar...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
BILA VITU,MTU ANAKUWAJE NA MAENDELEO!? Leo 11:30hrs 11/10/2020 Utajiri wa mtu unatokana na vitu alivyonavyo,vivyo hivyo Utajiri wa Taifa unatokana na pato la taifa linalotokana na vitu kama...
3 Reactions
12 Replies
946 Views
Back
Top Bottom