Dkt. Mwinyi mgombea wa kiti cha urais Zanzibar ni kiongozi mwenye hoja mama na falsafa za ukombozi zenye kujikita kwenye uungwana wa utu kwanza katika kuwatumikia watu, anashawishi anapojenga...
Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa
1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti...
Dr. Tulia Ackson Ni vyema ukajifunza unapozungumza na Wananchi na ukatambua nafasi ya kazi unayotuomba tukupatie Wana Mbeya.
Kazi ya Mbunge siyo kwenda kuomba fedha kwa Rais, fedha za nchi ni...
Tume ya uchaguzi mnashindwa kujitenga na chama Cha mapinduzi.
Mliaanza kuwapa ushindi wa mezani, mkamaliza mkawasimamisha wagombea wa udiwani na Ubunge kufanya kampeni lakini homa ikazidi...
Kwanza kabisa tukubaliane kwamba mtanange wa uchaguzi umepamba moto huku kila chama cha siasa kikijitahidi kunadi wagombea wake na kushawishi wananchi kuwachagua.
Kwa namna nyingine tumeona...
1. Mgombea wa CCM akihubiri Upendo, Umoja, Amani na Mshikamano; Mgombea wa CHADEMA anahubiri mafarakano na utengano baina ya Watanzania wenyewe.
2. Mgombea wa CCM anaeleza namna kusimamia na...
Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki...
Wana hamvi hamjambo humu?
Mpaka sasa tumeona jinsi kampaini zinavyo kwenda
Kati ya miaka mitano tena
Na miaka mitano kwanza
Kwa mwenendo huu wa kampain inavyoenda bila ya kuelemea upande wowote...
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.
Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka...
Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni.
Mwaka huu ni tofauti...
Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki...
Habari wanajf, leo kuna jambo moja ambalo nimeona nilizungumzie ili tuweze kukaa sawa na kuweza kushinda mapambano yetu yanayokuja.
Ninaamini kuwa hadi sasa CHADEMA ila ilani nzuri sana ambayo...
Habari wakuu,
Wiki iliyopita nilikuwa kwenye kampeni ya mgombea ubunge wa upinzani anayetetea kiti chake Mhe. Joseph Mbilinyi eneo la Stendi ya chunya. Nilichogundua ni kwamba kuna vijana...
Shule za mkoloni zinaonesha kuchoka na kulegea.
Watoto wa kusoma wanaongezeka kila mwaka shule haziongezeki.
Kanda ya ziwa hakuna chuo kikuu cha serikali ni vijitawi tu.
Jana nilimuona mgombea...
Hivi sasa ukipita mitandaoni, utaona kabisa kuna aina fulani ya watu kuanza kuhamasishana kuhakikisha haki inatendeka katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na wanasiasa ndio wanaonekana kuwa mstari wa...
Alitegemea kukubarika zaidi, kwa jinsi alivyokuwa akitumia vyombo vya Habari, shirika la utangazaj nchini TBC, vyombo vya Habari vya CCM.
Yawezekana watu hawavifuatilii sana ama ugumu wa maisha...
Mnachopigania ni kitu gani? Wajua kuna ile busara ya kuzaliwa nayo, unaona kabisa uwezo wangu wakushinda Urais hapa sina unapiga porojo tu kusumbua watu. Mnajua mwaka huu fulani anaungwa mkono na...
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1997, inaeleza majukumu ya mbunge kwa jimbo lake kama ifuatavyo:-
(a) Kumuuliza Waziri yeyote swali lolote kuhusu mambo ya umma katika Jamhuri ya Muungano ambayo yako...
Amani iwe nanyi wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu, hizi ndo sababu za Kwa nini Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ndo uchaguzi Mgumu zaidi kwa CCM?
1. Mwaka 2015 Chadema walikuwa na mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.