Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Habarini. Kweli kabisa yaani mgombea akijaza nyomi kwenye mkutano wake wa kampeni kwenye chama fulani cha siasa inaashiria ushindi???? Imani gani hizi. Nimekua nafuatilia sana hapa jukwaani kila...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa...
7 Reactions
89 Replies
7K Views
Na: Giantist McWenceslaus 30/08/2020 Dodoma. Kuanzia siku ya jumamosi ya 29/08/2020 kipyenga kilipigwa kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa safari ya kampeni ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nafahamu wazi kwamba muda hautoshi kwa Mh Tundu Lissu kuweza kupita kila mahali kuomba kura , lakini kuna maeneo ambayo umuhimu wa Tundu Lissu kupita ni mkubwa sana , hii ni kutokana na mvuto...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Hii nimeichota sehemu... TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na...
53 Reactions
179 Replies
25K Views
Na: McWenceslaus Leo nimekuja nikiwa na ujumbe maridhawa wenye lengo la kutukumbusha kuhusu malengo ya Muungano wetu na utawala wa umoja wa kitaifa ambao tumekuwa nao kwa zaidi ya miaka 56 sasa...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF. Katika makosa waliofanya wananchi wa tanga mjini mwaka 2015 n kumpa ubunge mtu ambae haguswi ata na kero za wananchi wake, kumekuwa na mbunge jina tuu, mbunge anashindwa ata...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Wana CCM wameendelea kuiombea kura CHADEMA baada ya wagombea wao wa Ubunge, Udiwani na hata Urais kushindwa kueleza wazi hatima ya maisha yao baada ya UCHAGUZI. Ugumu wa maisha uliopelekea...
4 Reactions
3 Replies
938 Views
Imezoeleka kuwa Jambo juzi na jema kutokea kwenye jamii au maisha ya mtu,tunaiita BAHATI ya MTENDE. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wakazi wa jimbo la ubungo na halmashauri ya ubungo. Chama Cha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama. Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema...
18 Reactions
179 Replies
14K Views
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa...
54 Reactions
340 Replies
40K Views
#28oktoba2020 Kila mwananchi ana nafasi ya kupanga na kuchagua aina ya maisha anayotaka na hata maisha ya kizazi chake kijacho. Kwa Kupiga Kura ni nafasi yako ya kuchagua au kutetea Maswala...
3 Reactions
4 Replies
753 Views
..IGP Sirro na jeshi la Polisi wamekuwa mstari wa mbele kukemea wanasiasa wanatoa kauli ambazo ameziita za kichochezi, na za shari. ..Kauli ambazo IGP amekuwa akizikemea mara nyingi huelekezwa...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
1. Msifanye Kampeni ambapo hamna vibali 2. Zungumzieni Ilani mwanzo mwisho 3. Acheni na maneno ya kusikia, zungumzieni mnacho kiamini 4. Msizidishe muda wa Kampeni 5. Msimzungumzie mtu au mgombea...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Kila unapotembea hivi sasa katika nchi hii utayaona mabango kwa maelfu, ya wagombea wa CCM yakiwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za kuwanadi wagombea wao kwa uchaguzi mkuu ujao. Vile vile katika...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimemsikiliza Katibu ya Tume ya Uchaguzi NEC Mr. Kawishe akihojiwa na Channel 10. Huyu jamaa anazijua Sheria za NEC na moja ya sheria hizo ni kutumia lugha ya Kiswahili kama official language...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati siasa zikiendelea hasa kuelekea uchaguzi wa October 28, kuna wagombea kutoka vyama fulani ninawafanisha ni Chifu Mangungo. Lakini nitaomba mnisamehe kwa kutumia jina hili ambalo ninaamini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi upande wa huduma, Emmanuel Kawishe anaongelea mambo kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu na amezungumzia gharama nyingi zilizotumika kutimiza azma ya Mtanzania...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Mgombea wa Chadema alifungiwa kukampeni kwa wiki moja kwa makosa ambayo si yeye, chama chake wala wafuasi wake ambao yameweza kuwaingia akilini. Hukumu ya namna...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom