Wanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.
Siku saba za Lissu likizo...
CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea...
BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine.
Kwa mfano CCM na ACT Wazalendo wameweka...
Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha...
Nijuavyo mikutano ya kampeni ni kwa ajili ya kutangaza sera na ilani za vyama lakini nashangazwa na Tundu Lissu ambaye hutumia muda mwingi kutafsiri sheria na katiba ya nchi.
Mfano katika mkutano...
Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake...
Matatizo mengi na madhaifu ya CHADEMA Katika hatua mbalimbali za uchaguzi yanatokana na kukosekana uongozi WA Karibu wa mwenyekiti Mbowe.
Kukatwa kwa wagombea wengi wa CDM kwa sababu kadha wa...
Ilani ya chama cha siasa
Ni mwongozo na mkataba kati ya chama cha siasa na wapiga kura Kwamba chama cha kisiasa kinamwahidi mpiga kura mambo kitakachomfanyia kama kikipata ridhaa yake kupitia...
Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka...
UJIO wa Profesa Kitila Mkumbo katika siasa za Dar es Salaam umeleta nguvu mpya na msisimko katika siasa za Mji Mkuu wa zamani wa Tanzania.
Kwa takribani miaka 15 sasa, Dar es Salaam ilikuwa na...
Kuna mengi sana ambayo Huenda yalifanyika kwa kujiamini kuwa utawala utaendelea miaka yote kwa hiyo hamna shida, kifo tu ndio huwa hakimjulishi mwanadamu kuwa siku yako yaja, ila wale ambao ni wa...
Je, mgombea wa Urasi kupitia Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu anayo haki yoyote ya kufokea ushirika huu wa kiharamu wa Jeshi la Polisi na CCM?
Je, ni kweli jeshi la polisi linatumiwa na wagombea...
Akiwa kwenye mkutano Tunduru, Mgombea Mwenza wa CHADEMA aliwauliza wananchi Kati ya Mgombea wa ACT Wazalendo (Ado Shaibu) na wa Chadema (Ndugu Undi) nani wanamkubali, wananchi wote kwa pamoja...
Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe?
Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera...
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona.
Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo...
MEMBE, ACT WAZALENDO KUKATA PUMZI KAMPENI NA UNAFIKI WA ZITTO
Na Mwamba wa Kaskazini
Jana au juzi nimesoma andiko la vijana wa ACT wakiuliza swali muhimu sana ambalo naona limeibua mambo ndani...
Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza...
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED
Na Thadei Ole Mushi
Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.