Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka...
Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo...
Ni muda Sasa NEC kupitia picha na video kurudia rudia mafuriko na mikutano ya Lissu kusoma alama za nyakati. Mikutano ambayo haipewi matangazo ya kutosha, mikutano isiyorushwa live, mikutano...
Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi...
Jimbo la Kawe limekuwa likiongozwa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka kumi sasa chini ya Mbunge Halima Mdee.
Ki ukweli pasi na shaka yoyote sijaona juhudi zozote za Mbunge kupeleka hoja yoyote Bungeni...
TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF. LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE VIJIJINI
Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi...
Wana Jamvi,
Kipindi ndio hiki, wakati ndio huu. Kama umelewa mchuzi wa Magufuli basi bado huja dondoka ila kama umelewa mchuzi wa Tundu Lissu basi amini usiamini ameanza kupigwa changa la macho...
Kampeni ya kutaka Rais ni aina ya uchochezi dhidi ya Rais aliyeko madarakani, huu ni wakati wagombea wengine wanawashawishi wananchi waachane na aliyeko madarakani wamchague yeye, ukifanya...
NEC watupatie elimu hii sawa sawa. Je, ni kweli kuwa bado nikiwa ndani ya Tanzania lakini nje ya kituo nilichojiandikisha siwezi kupiga kura ya Rais?
Kuhusu ubunge hiyo ni sawa, lakini kura ya...
Baadhi ya wanachama wa chama fulani wamekuwa wakijinasibu na hii taarifa ya kupikwa kuwa kama zikipigwa kura au kupendwa kwa chama chao hapo mwanza basi asilimia 95 inawapa ruksa kujitutumua...
Wasalaam,
Huwa inashangaza kwa mtu msomi mwenye akili timamu anapoamua kwa makusudi kupotosha jambo lenye maslahi kwa umma, ambalo linatambulika vema kwa jamii husika.
CCM wameparamia kujibu...
Yule mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ambaye pia aliwahi kufungwa jela kwa kesi ya Kisiasa, leo amefika Kata ya Ilomba kuomba kura zake mwenyewe lakini pia ameomba zingine kwa...
Mwenye macho anatazama mwenyewe na mwenye akili anajua anachokifanya.
Nchi lazima iwe imara kwa katiba ,bila katiba nchi inakuwa dhaifu Sana
Ni ukweli nchi bado ni dhaifu na ndo maana mtu moja...
Sio siri wafuasi na wanachama wa CHADEMA walijitutumua kuonyesha chama chao kipo hai na hili walilikomalia zaidi pale Lissu aliporejea toka Ubelgiji na kisha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa...
Waziri Mkuu Kasim Kajaliwa amebomoa Ngome ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge anaye maliza muda wake Freeman Mbowe kwa kusema hai ilikosa Mbunge kwa muda wa miaka kumi na tano.
Ameyasema...
Suala la mawakala ni muhimu Sana kwa vyama vya upinzani. Toeni elimu kwa mawakala wenu na ikibidi wachagueni walio watiifu na waadilifu kufanya shughuli ya kusimamia kura zenu. Kila Mara vyesi...
Mara kwa mara watu binafsi, taasisi za dini na za kiraia na viongozi wetu wa kisiasa wanekuwa wakituasa watanzania kuwa wazalendo kwa nchi yetu, japo wengi waneshindwa kutofautisha kati ya nchi na...
Kwenye nchi nyingi kuelekea kipindi cha uchaguzi, siku ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi kuna mambo mengi hutokea. Mojawapo ya mambo hayo ni mashambulizi/udukuzi ya mifumo ya teknolojia ya...
KAWE INA HESHIMA TAYARI, INAHITAJI MAENDELEO
Je, ni kweli Kawe inahitaji heshima?
Jimbo la Kawe ni moja kati ya majimbo muhimu sana hapa Dar es Salaam.
Kule Masaki na Oysterbay wanakaa watu...
Leo Tarehe 09/10/2020
Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo.
Muda ni Kuanzia
Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.