NITAWAUNGANISHA WATANZANIA WOTE" PROF. LIPUMBA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
NITABORESHA KILIMO CHA TANGAWIZI "PROF. LIPUMBA"
SAME MASHARIKI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais...
"Uchaguzi huu nimeamua kutolalamika, Wahuni tutamalizana nao kihuni haitojalisha cheo alichonacho...Ili Uchaguzi uwe huru na Haki lazima kuheshimu maamuzi ya Wananchi tofauti na hapo ni Uhuni tu...
SISI NI MASHAHIDI, TUTAPIGA KURA KUMCHAGUA TENA
1. JPM alipotangaza kufufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua Ndege mpya kwa ajili ya usafiri wa anga tulikua hapa #FikraHuru tukicheka...
Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia katika kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri.
1. Aliemshauri Lissu kuwa...
Wanabodi,
Ni dhahiri shahiri mikoa ya kusini ACT Wazalendo wanakitesa chama changu kwa hoja na makombora mazito ni kama wanatusambaratisha kabisa kwa kumtumia mbunge Bwege na mtu aitwaye...
Tangu mh Tundu Lissu arejee nchini mwezi Agosti, amekuwa akitoa matamko mbalimbali ambayo kwa kiasi kikubwa yameweza ku reshape approach ya serekali ya awamu ya 5 katika utekelezaji wa mambo yake...
Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila...
Leo Mh Tundu Lissu kawaambia watanzania na waandish wa Habari kuwa Serikali yake yeye italipanua jiji la Dar na kuhakikisha anaongeza usafiri wa Reli za umeme kwani Kujenga mabarabara tu haitoshi...
Uzalendo ni itikadi ya kuweka maslahi ya taifa lako mbele ili liweze kufanikiwa kwa kila namna. Lakini inatia aibu sana CHADEMA na wanachama wake pamoja na wafuasi wake hawana uzalendo kabisa na...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Nikiwa mmoja (kama ilivyokuwa kwa mama Maria) tulioongeza idadi Kiluvya kabla askofu Mwamakula kufika tukiwa tayari kwa lolote, ni jambo la wazi kuwa tunapaswa...
Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.
Nitawaletea kila...
Kwa mujibu wa Tumaini Makene:
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio...
Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana...
Pamoja na Cheo chake cha Uwaziri Mkuu, Tabia na kitendo cha Majaliwa kuzunguka Peke yake na kufanya Mikutano ya hadhara ya kuomba KURA ni ukiukwaji wa Taratibu. Anapswa kurudishwa Ruangwa...
Kwenye Taifa lenye zaidi ya 80% ya watu wake wakiwa na umri chini ya miaka 35, ni dhamira yetu, kuwekeza na kutengeza sera, sheria na taratibu zitakazohakikisha kuwa vijana wa taifa hili wanakuwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watambue umuhimu wa kura zao watakapokuwa wanachagua viongozi Oktoba 28, mwaka...
Nimeona Leo mgombea ubunge jimbo la Kaliua ndugu Aloice Kwezi gari la matangazo wanasema na wasanii watakuwepo FM. Akademia tena huku ni vijijini ambako mmekuwa mkijinasibu ndio kura zenu zipo...
WANAHARAKATI wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia wamewataka wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuwa na ajenda ya kupambana na vitendo hivyo ili kuhakikisha wanawake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.