Wanabodi kuna watu walazimisha ukweli uwe uongo na uongo uwe ukweli, Lakini wanasema hata vitabu vya dini vinasema mahali popote ulipo ukweli ndipo nuru ilipo. Sasa nauliza hivi kuna watu bado...
Chama cha Maaskofu na Wachungaji (TPA) kimeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020, kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ili haki itendeke.
Kimesema...
*Does it make any sense?*
Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Na TUNDU Lissu
16.09.2020
Mbeya.
Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja...
Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili
Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age.
Hawa wapo...
Ni majimbo yafuatayo:
1. Kawe
2. Mikumi
3. Iringa mjini
4. Mbeya mjini
5. Tunduma
6. Hai
7. Karatu
8. Bunda
9. Tarime mjini
10. Tarime vijijini
11. Arusha mjini
Natamani kuona nguvu ya...
"Nikipata nafasi ya kuwa Rais, suala la changamoto kwa wakulima wa korosho kwa muda mrefu litaisha. Nitahakikisha pembejeo bora zinapatikana kwa wakati.
Kupatikana kwa masoko yasioingiliwa na...
Habari!
Swali langu ni hilo, napenda kuelewa ni namna gani au sheria za Uchaguzi zinaruhusu kwa upande wa Bara kuweza kushiriki uchaguzi kwa kumchagua Rais katika kituo tofauti na...
Akiwa kwenye kampeni zinazoendelea ambapo ratiba ya Leo imempeleka Lindi na Ruvuma , amehutubia mkutano mkubwa sana wa kampeni Nachingwea , ambapo amewaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga...
Katika kile ambacho Rais Magufuli huwa anakisema mara nyingi kuwa yeye ni Rais wa wanyonge na masikini ndicho kimenipa kipaumbele cha kuandika uzi huu.
Ni kweli yeye ni Rais wa wanyonge na...
Leo Tarehe 07/10/2020
Mheshimiwa Boniface Jacob
anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Makuburi.
Muda ni Kuanzia
Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa Kibangu viwanja...
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona.
Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia.
Kila mtu...
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana...
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dkt. Mahera amesema Tume yake...
NEC isipomuegua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, muungano utasalimika?
Na, Robert Heriel
Jambo kubwa linaloendelea katika vichwa vya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa ni...
Mgombea ubunge wa jimbo la Sengerema alivyokuwa kwenye mkutano katika kijiji cha Mchangani kasema changamoto zingine atazimaliza kwa pesa yake mwenyewe, kwa kuanzia atatoa mifuko 200 ya saruji...
Na Mackdeo shilinde
Wana-Ubungo nawasalimu kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth na Mtume Muhammad (SAW).
Binafsi Ni miongoni wa vijana ambao tunafatilia kwa umakini wa hali ya juu, siasa na...
Tukiwa tumebakiwa na wiki tatu tu Watanzania tupige kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani.
Licha ya kuwa na wagombea 15 wa kiti cha Rais lakini mpaka sasa wenye nguvu ya ushawishi ni kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.