Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB Dkt Charles Stephen Kimei ambaye alijitosa kutafuta tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM na kupata kura 178 huku mshindi Ndugu...
15 Reactions
46 Replies
7K Views
Siasa ni gharama kwa hiyo ili chama cha siasa kiweze kufanikisha malengo yake lazima wanachama na wafuasi wake wajitolee kwa hali na mali. Kwenye uchaguzi mkuu kama huu ambao chama kinahitaji...
6 Reactions
180 Replies
11K Views
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika...
53 Reactions
330 Replies
24K Views
TAMBUA KITUO UTAKACHOPIGIA KURA 28 OKTOBA 2020 Kama tujuavyo mwezi huu wa Oktoba, tarehe 28 kuanzia saa 1:00 mpaka saa 10:00 jioni ni siku muhimu sana kwa Watanzania.Kwani watanzania watachagua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipende kuchukua fursa hii kuwapongeza Vijana wenzangu mnaomkubali Tundu Lissu kwani mpo vizuri kiakili, kifikra na mna nia njema na maono makubwa kwenye nchi hii. Point to note: Zingatia hii...
1 Reactions
2 Replies
643 Views
Tarehe 28 -10-2020 Ni siku ya kupiga kura. Wito wangu Ni hivi, Jitokezeni kwa wingi, yaani hata mmoja wenu asibaki nyumbani. Nendeni mkapige kura Huku mkimkumbuka Mwanafunzi mwenzenu Marehemu...
2 Reactions
1 Replies
859 Views
Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili poleni Kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Ndugu zangu Watanzania hakuna asie juwa katika kipindi cha uchaguzi Raia/wananchi hutumika kama...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Waja JF, Kwenye majukwaa ya kampeni za uchaguzi, Godless Lema na Halima Mdee wamekuwa wakitumia clips zenye maneno ya wapinzani wao kuonyesha jinsi walivyo vigeugeu katika maisha yao, wenye kutoa...
41 Reactions
84 Replies
9K Views
JPM the towering pillar of African renaissance That is why October the 28th, is not only an election day for Tanzania, more important, it’s the day to decide the position of Africa in the world...
10 Reactions
90 Replies
5K Views
Habari zisizo na chembe ya kutaka umma usielewe kinachoendelea ipo wazi kutokana na safari ya uchaguzi wa nafasi ya urais kupitia kampeni tunazoziona wakati huu. Mwaka 2015 ilichezwa mechi...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenu Umoja wa walimu Tanzania, Mnafiki hajifiki, wenye akili tunajua mpaka Naibu katibu aliweka wazi maana yake Katibu, naibu waziri, waziri, waziri mkuu, Rais, na Chama cha Mapinduzi (CCM) wote...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amewaahidi wavuvi wa eneo la Kayenzendogo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, kuwa atahakikisha hakuna mvuvi anayechomewa nyavu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chadema Mhe. Devotha Minja katika mikutano yake amekuwa akikatisha hotuba zake kwa kuweka clip ya sauti ya Magufuli. Katika clip hiyo anasikika Mhe. Rais...
12 Reactions
32 Replies
5K Views
Serikali inajisifu kununua ndege wakati wananchi wa Bunda hapa hawapati huduma bora ya afya "Prof. Lipumba" Akisalimia bunda, musoma Wanawake nchi hii hawapati huduma bora wakati wa kujifungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama inavyofahamika kuwa uchaguzi ni mchakato wenye hatua mbalimbali na huitimishwa na upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo. Inafahamika pia aina ya tume ya uchaguzi tuliyonayo haiko on favor...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati vyama vya siasa nchini vikiendelea na zoezi la kuomba kuchaguliwa na wananchi kushika nafasi mbalimbali za uongozi, Tume ya uchaguzi NEC ivitahadharisha vyama hivyo kutofunja dheria za nchi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
WANAKAWE KATAENI MATESO MENGINE YA MIAKA 5. Leo ningependa kuongea kwa kifupi sana na wananchi wenzangu wa Tanzania wa pale jimbo la Kawe mkoani Dar es Salaam. Nimeona nitoe dukuduku na mtazamo...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Baada ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA kukaa kimya kwa siku kadhaa, jumamosi hii ataendelea na kampeni Kama kawaida, siku hii itafuatiliwa na mamilioni ya watu duniani kote kwani Kila mtu anaitaji...
29 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom