Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi...
Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea...
Mgombea Ubunge Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa alivyopiga magoti kumuombea kura Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani...
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo...
CCM kwa kuiga.
Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP
#Uchaguzi2020
#OktobaTutawezana
Kiongozi wa cha chama cha ACT-Wazalendo taifa Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wa mkoa wa Katavi watawachagua viongozi wa upinzani watahakikisha wanaletea mabadiliko katiko sekta ya afya, maji...
WARAKA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SONGWE KWA ASKOFU MWAMAKULA!
Bwana Yesu Asifiwe mtumishi wa Mungu. Ninaitwa OBADIAH SIMON MWAIPALU. Ni Mgombea UBUNGE Jimbo la SONGWE Mkoa wa SONGWE kupitia...
Hawa polisi sasa ni dhahiri wanaingilia shughuli binafsi za mgombea wa Chadema, Tundu Lissu.
Lissu ni Mwanasiasa na shughuli kubwa kwake ni kufanya siasa. Ili uweze kutekelezwa majukumu yako...
MGOMBEA Urais Zanzibar kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na wavuvi na wakulima wa Mwani na Kijiji cha Tumbe, mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwahidi kuwapa vifaa...
Kuelekea Oktoba 28, Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi-Kamisheni ya Zanzibar, CP Mohamed Haji Hassan ameonya kuhusu uvunjifu wa amani visiwani humo
Amesema, "Baadhi ya Wagombea wa Vyama vya Siasa...
Mambo aliyoyaongea
Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza...
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.
Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na...
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya...
Leo Mgombea wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ADC, Bi Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na Mikutano yake katika wilaya ya Liwale.
Habari picha akiongea na wananchi wa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezitaka Kamati za Ulinzi na Usalama zilizo kwenye mipaka ya nchi ziwadhibiti raia wakigeni kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
NEC imesema...
Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona...
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
MUSOMA- MARA
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.