TUNAHITAJI KUBORESHA SEKTA MUHIMU ZA UCHUMI NA KILIMO."PROF.LIPUMBA"
MWANZA
Historia ya maendeleo ya uchumi duniani inaonesha kuwa maendeleo ya viwanda hutanguliwa au kuambatana na mapinduzi ya...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI, Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni.
Sikia mambo hapa kwa...
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."...
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Kwa wapenda haki, uhuru na maendeleo ya jamii.
Hivi sheria kuhusiana na mwenendo wa mgombea iko je? Ni lazima kuwa mgombea tu kulalamika? Au je ni lazima iwe ni chama tu? Miye binafsi kama mpiga...
Muulize na jirani yako ni kitu gani binafsi kimembadilikia katika maisha yake tokea aichague CCM 2015 hadi leo,kiasi ya kwamba anafuraha ya kuipa tena CCM kura yakemfaida gani ya kujivunia yeye...
Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia...
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa.
Kavishe...
Nimemsikia Jaji Mstaafu Mihayo akiwaomba viongozi wa dini wasimame kuilinda na kuitetea amani ya Tanzania. Naamini Jaji anajua tatizo lipo kwa watawala na si viongozi wa dini. Yeye akiwakemea na...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Alliance Demokratic Party (ADC), Queen Sendiga amesema anaamini kuwa Watanzania watampigia kura za kutosha kumpa ushindi.
Amesema hiyo inatokana na uzuri wa...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Endelea kufuatilia...
Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.
Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama...
Nimetafakari.
Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter.
Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale...
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko...
Wafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.
Hii ni kutokana na...
Kwa mujibu wa Ibara ya 74 (6) ya Katiba, majukumu ya Tume ni:-
(i) Kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura
katika uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya
Muungano;
(ii) Kusimamia...
Nyoote hamjambo. Nina ugua goli 7 za Liverpool.
Narejea mada husika. Kila mara nimekuwa nikisema kweli na kuweka wazi ya kuwa mimi ni shabiki wa CCM, ila sio CCM mpya hapana. Wenye CCM yao...
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma.
MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.