Pamoja na kwamba Magufuli amepiga kampeni kwa miaka mitano na miezi hii miwili ya NEC lakini ukifuatilia vizuri kampeni zake, utagundua kuwa ana hofu zaidi ya kushindwa kupata kura za kumuwezesha...
Habari za wasaa huu watanzania wenzangu ndugu na marafiki kwaajumla.
Natumai mu wazima wa afya njema kabisa na mnaendelea vizuri na kujituma katika kazi zenu za kila siku.
Sasa leo nitaenda...
Hili ni ombi langu kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Shughuli ya kampeni za uchaguzi katika jimbo la Karatu isitishwe , hii ni kwa sababu chama hicho kimekwishashinda uchaguzi huo...
Anaandika Mwalimu Noel Msigwa
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imejiaibisha kwa mara nyingine tena. Kumuita mgombea wa Chadema Tundu Lissu kwenye Kamati ya Maadili kumtaka ajieleze kwanini anasema...
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuingia kwa kishindo kikubwa mjini Bukoba.
Mji wa Bukoba ambao ni ngome Kuu ya Chadema unatarajiwa kuzizima Leo wakati shujaa huyo...
Wakuu Salaam;
Kila anayeshika kipaza sauti kutokea CCM analalamika kuwa kuna mgombea anapokea maagizo toka nchi za nje lakini hawaweki wazi ni maagizo gani?
Juzi Mwigulu naye alisema hivi hivi...
"Njombe ni wakulima wazuri, lakini kinachowakabili ni tozo hususan katika suala la miti, ambapo TRA wanawatoza kodi wakulima, lakini pia miti hiyo ikifika kiwandani kuongezewa thamani TRA wanatoza...
Na John Walter - Hydom, Mbulu
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye amesema vyama vya Upinzani nchini haviwezi kuongoza nchi kwa sababu hawana sera.
Ameyasema...
Wapwa,
Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya...
Wananchi wanafanya tathmini ya chama kilichopo madarakani kimewafanyia nini, kisha wanatoa majibu.
Wananchi wanafanya tathmini ya chama kinachoomba ridhaa ya kukamata Dola, je kina uwezo huo...
Toggle navigation
AllAfrica
Tanzania: Key U.S. Congress Members Raise Concerns About Elections and Treatment of U.S. Investors in Tanzania
Washington, DC — The ranking Democratic and Republican...
Mwenendo wa kampenii wa chama chetu uko vizuri sana. Mpk sasa hakuna hata mgombea wetu mmoja wa udiwani ama ubunge aliyeenguliwa.
Kampeni za mgombea urais zina utulivu mkubwa na zinafanywa...
Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji.
Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu
Leo kwa mara nyingine CHADEMA imeidhihirishia umma kuwa ni chama cha kidikteta na isiyoheshimu misingi ya demkrasia, uhuru na haki ya kisiasa ya kila chama na kila mtanzania.
Dunia yote...
Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini.
Hakika umekuwa machachari kwa...
Wasalaam wanaJF,
Leo ni siku ya Jumapili, naamini watu wengi mko katika mapumziko ya wiki. Huu ni muda muafaka katika wiki ambao tunaweza kuutumia kujadili mambo ya kisiasa yaliyotokea na...
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.
Wote mnakaribishwa.
Maendeleo hayana vyama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.