Wanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.
Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.
Ni...
H.Res.1120 - Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance...
Kujenga reli, kufufua reli ya Kaskazini, kujenga barabara na mengine yote. Huu ni wajibu wa serekali inayokuwepo madarakani.
Kipi kigeni kufufua Reli ya Dar mpaka Arusha? Ilikuwepo na waliiuwa...
Leo kamati kuu ya Chadema inakaa, naamini itajadili mambo mengi ikiwemo mwenendo mzima wa kampeni kuanzia uraisi hadi madiwani nchi nzima bila kusahau suala zito la kusimamishwa kufanya kampeni...
Kama ilivyo ada, mheshimiwa Lissu ameamua kuwafuata wananchi kule waliko na kusemezana nao.
Jana alipita katika eneo la Ngorongoro na kuongea na wamasai, Mheshimiwa Lissu akazungumza nao kuhusu...
Kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi Tanzania, Comrade Bashiru Ali a.k.a Mchuuzi wa ndizi aliwaonya wapinzani wao kwamba tayari alikuwa katika harakati za kisayansi ya siasa za kusimika MITAMBO ya...
Mgombea wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ADC, Bi Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na kampeni zake leo katika Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo.
Leo hii...
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikizidi kushika kasi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Mstaafu Francis Mutungi amewataka wadau wote wa uchaguzi wakiwemo wanasiasa kuepuka misuguano na...
Nashangaa kuona vijana wa CHADEMA na ACT wakihangaika kujadili suala ambalo katika demokrasia halina mjadala.
Magufuli akiwa mgombea wa CCM amekuwa akiwapigia debe wagombea wa CCM na kuwanadi na...
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari...
Wakuu heshima sana,
Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima.
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa...
Yaani Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 kutokana na kukiuka maadili ya uchaguzi halafu anakimbilia kujirekodi malalamiko yake kwa...
Ni kweli kuwa umeonewa kupewa adhabu. Hilo kila mtu analielewa. Hao wanaosimamia haki (Polisi na NEC) ni wateule wa mgombea mwenzio. Hapo tatizo lipo kwenye katiba yetu.
Umefanya kampeni na...
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria...
Ndugu wananchi, tumefokewa na kuonekana hatuna thamani kwa watawala. Maeneo ambayo ayajawahi kupata maji miaka hamsini tunafokewa kwamba tusipowachagua CCM hatupati maji, miaka yote wamewahi...
Habari zenu wana JF, leo ningependa kuzungumzia hawa watu wawili ambao wanaonekana wanaweza kupeperusha bendera ya upinzani.
Membe ni mtu mmoja msafi sana na hata umchafuaje hutaweza kwa kuwa ana...
Husika na kichwa hapo juu.
Uwezi jua Mungu anakuhepusha na Nini kingekupata kwenye harakati zako ndani ya week ijayo.
Uliona jinsi katazo la kutumia helicopter lilivyokuwezesha kuwafikia wengi...
Kuelekea uchaguzi baadae mwezi huu nchini Tanzania, kumekuwa na mashambulizi dhidi ya upinzani na sauti za kiraia, kizuizi kwenye vyombo vya habari na mapungufu kwenye uhuru wa wananchi...
Mabibi na mabwana heshima kwenu
Kumekuwapo na malalamiko ya uvunjifu wa kanuni na sheria za maadili ya uchaguzi yanayofanywa na mgombea wa CCM yaliyowasilishwa kwenu rasmi.
Mgombea wa tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.