Nimemsikiliza mke wa Lisu kila anapopewa nafasi kwenye mikutano ya kampeni yuko vizuri mno kwenye kunadi Sera.
Kwanza katulia hasa HIGHLY COMPOSED. Hana jazba na ana pointi
Huyu ndie CHADEMA...
Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya.
Ndugu yetu Membe kaingia...
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake
Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa...
MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA
MBILI:
Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia...
Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa
Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania
Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais...
Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Polepole amesema upinzani huwa hauongezeki, ukiona kitakwimu umeongezeka huwa inakuwa ni matokeo ya CCM wakiwa na mgogoro wa ndani
CCM wakiwa na mgogoro wa ndani...
Tulisikia taarifa ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya uchaguzi, katika kikao chake ilichoketi Jana, ikitoka na uamuzi wa kumfungia Tundu Lissu, kutofanya mikutano ya kampeni kwa wiki moja...
Hawasikiki kabisa. Kweli maisha yanaenda kasi sana. Sikuwahi kudhani kuwa Chama cha Chauma na Mgombea wake wa Urais Bw.Hashimu Rungwe wangekuwa maarufu kuliko CUF ya Lipumba au kuliko Bernard...
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6...
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha
Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya...
Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka...
Kama kuna Jimbo ambalo endapo CHADEMA na Mgombea wao Halima Mdee 'watazichanga' Karata zao vizuri sana basi 'watashinda' mapema tu kutokana na 'Mgawanyiko' mkubwa uliopo basi ni la Kawe. Wale wana...
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea
Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga...
BUSEGA- SIMIYU
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia...
Ama kwa hakika awamu ya 3 ya Lissu itakuwa kufuru kubwa Sana. Umaarufu wake utaongezeka Mara 10. Kila kizazi kitatamani kumuona akimwaga Sera na kuichana vibaya hii serikali ya CCM. My betting Ni...
*HUKUMU YA TUME DHIDI YA TUNDU LISSU*
Ukisoma taarifa ya Tume kuhusu Kumsimamisha Tundu Lissu kufanya kampeni SIKU SABA (7) na ukitafakari kwa kina kuhusu Mwenendo na Kanuni za Utoaji Haki...
WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA"
BARIADI- SIMIYU
Mgombea Urais wa Jamhuri ya...
Zipo ishara za wazi sana kuwa Rais Magufuli anaenda kushughulikiwa vilivyo na jumuiya za kimataifa na litakalotokea mpaka watanzania wenyewe watashangaa.
Nimemsoma Dr. Christopher pahala (Huyu ni...
Wanabodi, katika siku tatu hizi mfululizo kuna mambo mengi ya kisheria tumejifunza kama wana.
Ingawa Tundu Lissu anaweka mitego ili tujiingize kichwa kichwa halafu ije tuonekane ni nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.