Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza...
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.
Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa...
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia...
Kuna ukiukwaji mkubwa wa maadili ya uchaguzi unaofanywa na mgombea wa urais kupitia CCM. Ukiukwaji huu ni pamoja na matumizi ya lugha za kikabila, vitisho, kutoa rushwa ya ujenzi wa barabara, nk...
Sasa ni dhahiri kuwa hali ya maisha Tanzania inakatisha tamaa. Ni ngumu mno kiwango cha juu kinachokera na kuumiza.
Pamoja na ulofa mtu aliokuwa nao lakini tangu aamke asubuhi mpaka jioni atakuwa...
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.
Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili...
Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu...
Ukweli uwekwe wazi.
Kazi kubwa aliyoifanya Magufuli kuiongoza Serikali kufikia malengo yenye mafanikio ikiwemo la kufika Uchumi wa Kati kabla ya 2025 ni wazi amejitengenezea maadui wengi waa...
Nguvu ya machifu wa makabila mbalimbali imekuwa kubwa kipindi hiki cha kampeni. Kila mgombea anatamani abarikiwe na hawa Jamaa.
Nisichoelewa ni kama uchifu bado unatambulika kwa kiwango gani cha...
NITAHAKIKISHA WAKULIMA WA PAMBA WANALIPWA FEDHA ZAO"PROF. LIPUMBA"
MASWA, SIMIYU
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof.Lipumba amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais...
Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali...
Lissu na Mbowe mara kadhaa nimewasikia wanamshambulia Mbatia na NCCR hadharani. Pia jana nimemsikia Mbowe akiwaita wabunge waliohamia NCCR kutoka CHADEMA kuwa ni wasaliti.
Pia Lissu anawaita...
Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA amesema ni muhimu maamuzi yaweze kuwa ya wananchi na sio kwa Rais kama ilivyo hivi sasa
Amesema kwa sasa mbunge anapaswa kuomba kwa...
Dkt. Slaa nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo. Naami uko mzima na unaendelea vizuri na uwakilishi wa nchi yetu huko uliko,
Bila shaka unajua na unafatilia jinsi kampeni zinavyoendelea...
Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti...
Ndugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu...
Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM.
Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC...
Kwa muujibu wa tume ya uchaguzi wapiga kura walioko kwenye daftari la mpiga kura ni zaidi ya 29m.
Katika wapiga kura hao 29m wana mitazamo tofauti juu ya wagombea urais wa Tanzania.
Kuna wale...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria...
•LISU AMESEMA WATUMISHI WALIONGOMBEA NA KUSITISHIWA MISHAHARA YAO,WATAREJESHEWA KAMA MAPUNJO YA MSHAHARA WA KAWAIDA,AMESEMA WATUMISHI WALILADHIMISHWA KUANDIKA BARUA ZA RIKIZO ZISIZO KUA NA MALIPO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.