Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea Mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa...
Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Je, ni wananchi waliopigwa...
NEC najua hapa JamiiForums mpo na 'mnanikodolea' zenu huku wengine hata mkiwa 'mnaninunia' pengine kwa 'Kuwasema' Kwangu ila nina bahati mbaya moja tu Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa...
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili...
Salaam
Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya
1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa...
*KINABO KUUNGURUMA MTAMBANI KESHO*
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini (CHADEMA), KINABO EDWARD, leo ameendelea kuyafikia mamia ya wananchi wa mji wa Mlandizi, Kata ya Mtongani kupitia...
Wana bodi,
Hivi karibuni mgombea wa urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ali amrishwa na tume ya uchaguzi ku hudhuria mkutano unao jumuisha kamati ya maadili...
Ni jambo la kushangaza sana kuona hadi msemaji wa Ikulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na Twitter akipost wasanii watakaokuwepo kwenye kampeni za Magufuli.
Inastaabisha sana kuwekeza nguvu...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki...
Habari za leo watanzania wenzangu, Natumai mu wazima wa afya njema.
Leo nitatoa orodha ya watanzania watakao mpigia kura Magufuli siku ya oktoba 28. Naomba ufuatane na mimi ili upate kuelewa...
Muda huu Tundu Lissu yupo Siha mkoani Kilimanjaro moja ya majimbo sugu yanayotawaliwa na CCM mkoani humo.
Hili ndilo jimbo la Agrey Mwanri sambamba na Godwin Molel ambaye alikatwa CCM mwaka 2015...
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.
Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya...
Salam Wakuu!
Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa...
Kabla hujaanza kampeni, nchi ilikuwa imekata tamaa. Watu walikuwa wamekata tamaa wakijiuliza ni lini ukombozi wao utakuja. Nchi ilikuwa kilio kila mahali si wa CCM, CHADEMA, CUF wala ACT.
Ugumu...
Tunajua kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za nchi ni yapi majukumu na wajibu wa wagombea watakaoshinda?
1. Je Rais ana wajibu gani?
2. Mbunge ana wajibu na majukumu yepi?
3. Na diwani Je?
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.