Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini...
Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya.
Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia...
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa.
Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni...
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu...
Tunapokuja kupiga kura tunaingia mkataba wa miaka mitano na tunayempigia Kura. Mwisho wa miaka mitano tutapima aliyisema atafanya na Mapya atakayofanya tena.
Kwa nini nawaza hivi.
Kuna mbunge wa...
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA"
KATA YA DIDIA, SHINYANGA...
Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la...
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu
Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho...
Bila shaka kampeni za mwaka huu ni ngumu zaidi ya zile za 2015 na hata za 1995.
Jana tulishuhudia mgombea uraisi kupitia CCM akiwapigia magoti wananchi akiwaomba kura, Je, hii ni heshima kwao au...
Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta...
Habari za humu wadau, poleni na hongereni na pilika za kampeni.
Juzi kati nimesikitishwa na kitendo cha mgombea kupitia kiti cha ccm ambaye kawaita watu wa kigoma kwamba wana akili sana...
Watanzania wenzangu nichukue nafasi hii kuwaomba na kuwasihi kwamba tarehe ya Uchaguzi tuhimizane kupiga kura, kwa wale ambao tutaweza pia kusafiri eneo moja had lingine pia itakuwa nzuri kwa...
Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni...
24 Agosti 2020
Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba...
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa...
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.
=====
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita...
Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani?
Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM...
Habari za sasa hivi wanaJF, kama ilivyo kawaida kuwaletea habari mbalimbali ambazo zinafika kwenye meza yangu kuhusu chama chetu CHADEMA huwa siachi kuwaeleza ili kupata ufumbuzi.
Morogoro ni...
Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia.
Kwa hakika lipo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.