•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto.
Kura na maamuzi yanafanywa na...
Ikiwa kumesalia mwezi mmoja tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu, hali ya CCM kwenye jimbo la Temeke ni dhoofuli hali, Mgombea wake aliyeshindwa kura za maoni na Abbas Mtemvu aitwaye Dorothy Kilave...
Wabunge wa chama changu walikuwa wanakatwa mamilioni ya shilingi ili baadae pesa hizo zingetumika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu. Lakini inasemekana pesa hizo zimeyeyuka kama barafu...
Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi...
Mzee Shomari anauliza hili swali, sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga?
Kwanza...
Habari za jioni wakuu
Naomba kuuliza wajuzi huyo aliyesimama na Binamu anaitwa nani ?
Na ana cheo gani uko CHADEMA?
Anaonekana he is very smart
Naomba kuwasilisha
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!
Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.
Sipati picha...
Kwa huu mtihani kabambe ambao jopo la watendaji wa Tume wakiongozwa na Majaji wenye weredi wa kutosha kushindwa kutafsri kanuni za uchaguzi na hatimaye Tindu lissu kuibuka kidedea kwa kuwapa...
29 September 2020
Arusha, Tanzania
Source: video : Global online TV
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia kwa mkurugenzi wake, Dkt Willson Mahera, leo Septemba 29, wamezungumza na wanahabari...
Mara nyingi tumeandika humu kuhusu mwisho halisi wa CCM jimbo la Kyela tukiwa na vielelezo kamili visivyo na shaka yoyote lakini tulipuuzwa , sasa ni dhahiri mwisho huo umetimia
Pichani ni...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!
Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!
Kwa waliopita ktk system ya kusolve...
Huwezi kuamini kwani ameonesha uwezo wa "man alone" kwa kuishika Tanga vilivyo.
Yaani Magufuli atafika Tanga kusalimia tu.
Hongera sana THE DRAGON LADY
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]
Siandiki waraka hapa.
Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa...
Baba Askofu,
Nimesoma nyaraka zako nyingi unazozitoa kwa kwa Watanzania wote. Kimsingi, ujumbe wako ni fikirishi, thabiti na hitimishi. Thamani ya ujumbe wako ni wa-kiungu unaoishi na kubeba...
Kila ninapomsikiliza huyu Mkurugenzi napata wasiwasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kuwa yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?
Huyu si...
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.
1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea...
Kwa mujibu wa GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA la Tarehe 5 Juni, 2020 SEHEMU YA TANO Ukururasa wa 15. Angalia Kiambatisho.
5.4 Uwasilishaji wa Malalamiko
Mgombea yeyote, Tume ya Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.