Waungwana katika kupambana tunajua zikitokea fursa huwa tunazichangamkia kwa nguvu sana. Kila mwaka wa uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi huwa inatoa nafasi za kazi za muda mfupi ili kusaidia...
Mgombea ubunge mh.Catherine Ruge wewe umekuwa mbunge wa kipindi cha miaka mitano iliyopita, nilitegemea ungesave ili uje kufanya kampeni vizuri bila kupitisha bakuli.
Catherine umelipwa mshahara...
TUMIA HAKI YAKO YA KIKATIBA
Tarehe 28 Mwezi October 2020 ni siku muhimu kwa kila Mtanzania kwanini inakuwa ni siku muhimu? Ndio siku pekee ambayo inaendakuleta mabadiliko kwa Mtanzania...
Mwalimu aliwahi kusema kwamba taifa hili linahitaji vijana shupavu, jeuri, wanaojiamini na wenye kuhoji mambo kuhusu watawala bila ya kuogopa na siyo wale wa ndiyo mzee.
Sasa nimekubali zaidi ya...
Nimesikilza hoja nyingi za Mgombea wa Chadema kwenye kampeni zinashawishi kuwa Serikali iliyoko madarakani imeshindwa kujibu changamoto za watanzania kwa kuwapatia uhuru, haki na maendeleo yao...
Kuna mgombea amekuwa akipotosha kuwa tukimchagua mpinzani kutatokea vita, tena amekuwa akiienda mbali kwa kusema "uongozi haujaribiwi". Naomba tume imuite akajieleze kuhusu upotoshaji wake.
Kanuni na maelekezo yanayosimamia uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 baadhi yana ukakasi mwingi na kama dhana ya uadilifu kwa baadi ya watu haitaheshimika itasababisha uchaguzi huu kuwa na malalamiko...
Kesho mwamba na mwamba wanakutana Hai ambapo Tundu Lissu anatarajiwa kufanya mikutano mfululizo jimbo la Hai na atakuwa na mkutano jimboni huko pekee pamoja na mwenyeji wake Freeman Mbowe.
Huyu...
Naona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu.
Moja: Wanaweza kuhongwa na CCM kuuangamiza upinzani, sioni wakala aliyeko kijijini kama ana uwezo wa kukataa laki tano apindishe...
Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa...
Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba...
UTATA WA MUUNGANO WA KISIASA (COALITION) WA CHADEMA NA ACT-WAZALENDO KATIKA MACHO YA SHERIA
Mwaka 2019 bunge liliifanyia mabadiliko Sheria ya Vyama vya Siasa, Sura ya 258 kupitia Sheria Na. 1 ya...
Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika. Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.
Kwa imani yangu ni kwamba huyu...
Akiwa huko Serengeti, Mheshimiwa Lissu ametolea ufafanuzi mzuri, wa kitaalamu na kisheria juu ya utaratibu wa kuitwa kwake kwenye tume kwa ajili ya maadili ya uchaguzi
Lissu anasema kuwa kwa...
Soma hiyo ilani ya CCM ya mwaka 2015, ukurasa wa 7 kifungu cha 19(a) inasema pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7.
Ila Ilani ya mwaka 2020 ukurasa ya 10, kifungu cha 17 (b) inasema pato la taifa...
PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO WILAYANI USHETU, SHINYANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba leo atawahutubia wananchi wa Wilaya ya Ushetu, Mkoani...
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa 2015 CCM ilipata kura 8,882,935 za urais, karibu nusu ya kura zote zilitoka kanda ya Ziwa na kanda ya Kati.
CCM ilipata kura 3,638,623 kutoka mikoa 9 tu ya...
Nimeona mabadiliko ya hotuba za Lissu hivi karibuni kama ifuatavyo:
1. Hoja zinasemwa haraka haraka na muda hautoshi.
2. Hoja kadhaa muhimu hazina ufafanuzi wa kutosha.
3. Tundu Lissu na CHADEMA...
Salaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani...
Habari kwenu waungwana.
Tangu nimekuwa nikifuatilia siasa za nchi hii kwa vipindi kadhaa vya chaguzi kuu. Hapa ni kwa kipindi ambapo sikuwepo ila kwa njia ya masimulizi ya kihistoria na vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.