Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kila mtu anashuhudia mambo yanavyoendelea, kwa uelewa wangu wa katiba ya nchi hii, mwenye kinga ya madaraka ni Rais pekee, He vipi kuhusu watendaji wa Tume ya uchaguzi, hawawezi kuburuzwa korotin...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu. Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya...
10 Reactions
36 Replies
4K Views
Ajabu Sana, CCM na Serikali mlitakaje kwani! Kwamba Lissu asimame Kwenye Majukwaa kama Paroko anaye ongoza Misa au Kama msanii! Mlitakaje ndugu zangu! Lissu Yuko kwenye Battle Field , Anatafuta...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mkutano: Maelfu ya watu Wilayani Misungwi wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Tundu Lissu Nitaweka link ili mumfuatilie live akiwa Misungwi muda huu. Wakuu najaribu kuweka link inagoma ila...
42 Reactions
65 Replies
11K Views
Uchaguzi huu Ni tofauti kabisa na chaguzi nyingine zote. Moja ya tofauti Ni mitaa yote kukosa mapango na picha za wagombea wa upinzani. Hii Ina maana gani kwa uchaguzi? Tatizo Ni vyama vyenyewe...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
FACTORY RESET ya maana itaenda kufanyika katika historia ya nchi hii tangu kuumbwa kwake. Yale mashimo watu fulani walizoea kujifichia na kuila nchi hii taratibu kama bandubandu yatafukiwa sasa...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana, inastaajabisha pale mshindani mmoja anapojipa wajibu wa kuweka sheria, kanuni, taratibu n.k kwa washindani wengine kufuata ili wapate kushinda mpambano ambapo yeye naye ni...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Kimya kimetanda siku tano nzima mgombea urais wa CCM Hafanyi kampeni, hii mbona inaathiri ratiba yake alitakiwa awe Iringa hajaenda, hizi siku atazifidia vipi? Badala yake anasikika yuko Dodoma...
41 Reactions
154 Replies
14K Views
Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na...
25 Reactions
115 Replies
15K Views
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa...
33 Reactions
240 Replies
26K Views
Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu? Mna uhakika gani kama wamejiandikisha au...
7 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanabodi, Itikadi ni sera na uamini wa kile unachokisimamia bila kuyumba, CCM inaamini katika kujitegemea na ujamaa,Ujamaa katika CCM sio ule ujamaa wa mamlaka kuhodhi au kutwaa nguvu na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuuu nawasabahi,zidumu fikira za mwenyekiti wa wachama! Kuelekea uchaguzi mukuu,wapinzani hasa hawa watu wanaojiita CHADEMA Wamekuwa wakidai kuwa wagombea wao ambao wanatajwa kuwa na nguvu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni katika kongamano la Mtandao wa Jinsia lililozungumzia nafasi ya mwanamke katika uchaguzi mkuu. Mgeni rasmi alikuwa RC Kunenge na lilihudhuriwa pia na wajumbe wa kamati ya amani mkoa wa DSM na...
1 Reactions
0 Replies
750 Views
Nimeuliza swali hili ili nijuzwe, tume imefanya nini kwa haya: 1. Mgombea kuwaambia wananchi, msiponichagua mtakula vumbi mpaka mkome, sileti lami huku. 2. Msiponichagua na madiwani wangu sileti...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti. Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao...
16 Reactions
65 Replies
7K Views
Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
BREAKING NEWS: Aliyekuwa Katibu wa NCCR-Mageuzi Jimbo la Kawe na mgombea wa Udiwani kata ya Mbweni ndugu Juma Anthony Ndaigwa amesimamishwa uanachama na kuvuliwa nyadhifa zake zote ndani ya chama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Uongozi ni pamoja na wewe kuungwa mkono na kamati husika niliyoitaja hapo juu tofauti na hapo ni kupoteza muda tu. Kamati hii inawajumuisha wafuatao: Rais aliyepo madarakani japokuwa si muhimu...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Nadhani Chama tawala wanakwama kwenye mikakati, nadhani dola inawaangusha wakiwa na Jambo lao. Leo tukio la Polisi Nyamongo limechukua headlines social media nakufunika kampeni za Iringa...
48 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom