Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama...
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri...
Yule Mgombea wa Urais anayeongoza kura za maoni Mh Tundu Lissu leo tena anaendelea kukutana na wananchi kwa lengo la kuwaomba kura , ambapo leo atahutubia baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mwanza na...
To be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence.
Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na...
Watu wa sayansi wana kitu wanakiita saturation point, yaani ni point ambayo hata ukiongeza kitu fulani kilichokuwa na matokeo chanya kwenye mchakato fulani hapo awali, basi kitu hicho kinakuwa...
1. HOJA YA WANYONGE.
a)Magufuli amekua akijinadi kuwa yeye ni raisi wa wanyonge.
-Je anaweza kutuambia wakati anaingia madarakani aliwakuta wanyonge wangapi na mpaka asa wapo wangapi...
Wapwa,
Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa.
Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia"
Toa maoni
Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama...
Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya.
Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa...
Kwakuwa tumeanza kujibu hoja za Chadema basi tujibu zote ili tutoke kwenye wakati mgumu huu, maana wananchi kipindi hiki wanasikiliza wagombea wote na kupima hoja zao.
MOSI. Chadema kwa kupitia...
Huu ni mkutano uliopigwa leo na Mbunge wa milele wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi kata ya Ilemi ambaye pia wenyeji wa hapo humuita Rais wa Mbeya .
Mtu huyu ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya...
Mbombo i ngafu ,Kazi ipo
Wafuasi wa ACT wazalendo Tarime waungana na CHADEMA kumpokea Tundu Lissu wakiwa na uniform zao na bendera zao.
Ni dhahiri sasa Tundu Lissu anawachezesha CCM na NEC...
Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani. Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote.
Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio...
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume...
Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii.
Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.