PROF. LIPUMBA AKISALIMIA WANANCHI WA MSALALA KATIKA STENDI YA KAKOLA AKIELEKEA KAHAMA
NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga...
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.
Tundu Lissu anapaswa mara moja alitolee...
Nasema, bila kupepesa macho wala kumng'unya maneno, na kwa kujiamini kuwa hoja za upinzani zenye lengo la kumchafua Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, zimejaa unafiki, uzushi na ulaghai.
Ifuatayo...
Inaweza kuonekana kama mzaha lakini amini nawaambieni mpaka leo tarehe 28 September 2020 watanzania wameishaamua ni nani awe Rais wao. Kwa hiyo mizengwe vitisho na maneno matamu ya wagombea wetu...
Nashangaa sana makamanda wenzangu mnamshambulia Wilson Mahera wa NEC kwa kitendo cha kumuita Mgombea wetu kwa kamati ya madili ya taifa.
Je, hamjui kuwa NEC inasimamia uchaguzi ili Watanzania...
Twajiuliza, wapinzani hawawezi kweli lipia hata mubashara moja!? Au ndo wamekatazwa kurusha mikutano ya wapinzani mbashara TV zote? Sasa kulikuwa mubashara wakati wa ufunguzi wa kampeni. Lakini...
Wapwa
Mgombea Urais wa CCM akiwa njiani kwenye kampeni zake zinazoendelea leo huko Dodoma, amewaambia Wananchi wamchague, maana amepanga Dodoma iwe jiji kubwa kuliko majiji mengine yote, na ndio...
Habari za wakati huu;
Tunapoelekea kufanya uamuzi iwapo John Magufuli anafaa kupewa miaka mitano hebu tuitazame historia yake katika masuala ya Jinsi na Jinsia hasa mtazamo na misimamo yake kwa...
Wakuu,
Kampeni za uchaguzi zinaendelea na kwasababu ya mabadiliko makubwa ya kiushawishi ya Tundu Lissu yanayomfanya ajipatie mashabiki kwa kasi ambayo wengi (ikiwemo mimi) hatukutegemea, nimeona...
Naomba niki diclare kuwa mm Sina chama chochote isipokuwa kumuita mgombea uraisi wa Tanzania ni "msukule" hapa naona umekosea.
Km umeamua kusema ukweli Basi usitukane
Nimepitia baadhi ya machapisho kadhaa yakimzungumzia Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Ibara ya 74 (7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977: Kwa madhumuni...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ametoa onyo kali kwa wale wote wanaopita kukusanya shadada za kupigia kura kwa visingizio vya kutoa mikopo kwa wananchi.
Ameyasema hayo...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa:
Hata...
Kama ilivyo ada na kawaida kwa vyama vya siasa kuandaa Ilani yao ya uchaguzi yenye vipaumbele na sera wanazoenda kutekeleza baada ya kushinda uchaguzi na kuunda serikali, Chama Cha Mapinduzi...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin Mohammed amesema, mwenyezi Mungu atawaadhibu watakaoshiriki wizi wa kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...
Sisi watanzania wazalendo hatujawahi kuona siasa za namna hii. Siasa za kufokeana fokeana badala ya kunadi sera zenu. Siasa za kuita waandishi wa habari na kufokafoka kwa mambo ambayo hayana mbele...
Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo.
Lissu yuko Geita.
Matumizi ya sheria inayohusu masuala ya uhujumu uchumi yamekuwa mabaya sana awamu ya Tano. Kati ya watu walioteswa na sheria hizi kandamizi ni viongozi wa kisiasa wenye mtizamo chanya dhidi ya...
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.
Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii...
No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu
Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.