Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu...
Tundu Lissu is talk of the Town au kwa lugha yetu Tundu Lissu ndiye Habari ya Mjini kwa Sasa.
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameteka nyoyo za Watanzania na ukweli kabisa bila kuongeza...
Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za...
Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa...
Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini?
Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same...
Mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameahidi kuwa akishinda nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, mwaka huu, Serikali atakayoiongoza...
"Tofauti ya Mrema, Slaa na Lowassa ni 'organization' wakati wa nyuma hakukuwa na 'organization' ila sasa tunayo, tunaweza kuweka mawakala nchi nzima"- @TunduALissu
#“Kutakua na Uhuru kamili wa...
NKOME, GEITA VIJIJINI
WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA"
Mgombea Urais wa...
Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na...
Hakikisheni mawakala wenu wanatimiza vigezo vyote na kuapishwa chini ya usimamizi wenu ili kuepuka njama zinazopangwa za kuchomeka mawakala feki watakaosaidia kusaini matokeo feki.
Hakikisheni...
Tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, umalizike na Dkt. Magufuli kutangazwa mshindi, na jinsi alivyoanza kwa kasi na spidi 120, kila mtanzania alipata tumaini jipya kuelekea nchi ya ahadi. Pamoja na...
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe...
CCM haiaminiki kwenye swala la uchaguzi hii ni FACT tumeona figisu uchaguzi ya serekali za mitaa, engua ilikua nchi nzima tena kwa wapinzani tu. Mpaka wapinzani wakasusia. Wamefanya hivohivo engua...
Imekuwa ni kawaida kumsikia Rais Magufuli akitoa ahadi mbalimbali anapokuwa katika ziara nchini. Ahadi hizi ni za misaada na miradi mbalimbali ambayo utekelezaji wake utafanyika baada ya uchaguzi...
Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana...
MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe mikakati ya ushindi katika Uchaguzi...
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa...
Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.