Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kampeni za uchaguzi huu na mmoja wa watu wanaoshiriki sana kwenye kampeni ni Humphrey Polepole.
Mimi si mwanachama wa CCM lakini nadiriki kusema Polepole ni...
Amesema mzee mmoja maarufu kuwa kupigwa risasi na kupata ulemavu sio jambo zuri,lakini sio kigezo cha mtu kuingia ulingoni ili apate urais.
Matokeo yake kila unapokuwa unasimama majukwaani ni...
Ma-CCM, mabibi na mabwana.
Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu...
Mimi baada kufatilia mikutano ya Lissu Kanda ya Ziwa pamoja na Press conference aliyofanya Mwanza Leo, nawashauri wale wote wenye adhma ya kumchagua JPM basi waache mara moja kufatilia mikutano ya...
Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu.
Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma...
Napenda kuipongeza kamati ya ushindi Chadema kwa mkakati mzuri wa kuifanya Chadema kushinda uchaguzi huu, Mambo haya mmeyafanya kisayansi zaidi na kuibomoa kabisa ccm kiasi Cha kukosa Cha...
Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2020 inaeleza matukio ya ukiukwaji wa maadili ya Uchaguzi kuwa pamoja na kutoa Lugha ya matusi na kashfa pia kutoa kauli zisizoweza kuthibitika.
Pia ni kosa kimaadili...
Muda huu watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa jeshi la Polisi kutoka makao makuu, wamezingira ofisi ndogo ya makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo yaliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam kwa...
Leo ndio Halima Mdee atajua kuwa hajui.
Ni kampeni za kishindo katika viwanja vya Tanganyika packers Kawe ambazo zitatanguliwa na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote vya Dsm ya kumuunga...
Baba yangu ni mkulima wa alizeti toka miaka ya 1980 kipindi ambacho hakukuwa na barabara za lami kabisa. Toka miaka hiyo kipindi hamna lami mpaka sasa pana lami maisha yake hayana tofauti sana...
Mgombea urais wa JMT kupitia upinzani mzee John Shibuda amesema vyama vingi vya upinzani vimekwama kuendelea na kampeni kwa sababu ya ukata.
Kadhalika Shibuda amemtaka Rais Magufuli kuwatumbua...
Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini.
Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT.
Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
Kwamba hawakuwaza wakijibandika kwenye mabango peke yao nchi nzima watachokwa machoni pa watu na watapoteza mvuto machoni na hata mioyoni mwa watu.
Kwamba kufanya siasa peke yao kwa miaka 5...
Kama kuna kosa la kisiasa ambalo Lissu amelifanya ni kugombea urais mwaka huu,japokuwa ni haki yake ya kikatiba kugombea hiyo nafasi lakini ni kweli kuwa hiyo nafasi tayari inaonyesha amepwaya...
Mgombea Tundu Lisu ni Mtanzania kwa kuzaliwa na kuishi. Wewe Mh. Polepole nawe ni vivyo hivyo.
Tutamheshimu yeyote kwa kumwona Mzalendo pale tuu atakapokidhi matarajio yetu kwa vitendo na hata...
Umoja wa Wapigakura Tanzania (UWAKUTA), umewatahadharisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani kutoka vyama vyote vya siasa kuwa ni lazima watii na kuheshimu uamuzi wa wapigakura katika matokeo ya...
Katika hali ya kushangaza, wanasiasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameanza kufanya siasa za ajabu sana kwenye uchaguzi mkuu huu. Wameanza kutumia watoto wadogo kisiasa.
Watoto ambao walihitaji...
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT Wazalendo kwa CHADEMA hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua...
Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.