Nimekuwa ni msomaji zaidi kuliko mchangiaji kwa muda mrefu lakini nimekuwa nikishangaa sana watu wanapokuwa wanaongea vitu wasivyovielewa ama kwa ushabiki au kwa kutokuelewa.
Mfano watu...
Jana maeneo ya Mabatini jijini Mwanza nilishtuka baada ya kuona wale walinzi maalum walipoanza kugombea maji ya chupa ambayo yalikuja katoni moja na hivyo kutokutosha wote.
Hali ile ilinishtua...
CCM walidanganyika mno kudhani Uchaguzi wa 2020 ungekuwa rahisi, haifahamiki kama aliyewadanganya alikula njama au ilikuwa bahati mbaya ( tunaendelea kuchunguza )
Hapa chini nimeweka video fupi...
NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
BUKOBA VIJIJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania...
Nataka niseme kwamba tusijifanye kuziba masikio, Tundu Lissu kupigwa Risasi 16 na kuamka kisha kuendelea na shughuli zake huu ni muujiza tusiupuuze, siyo hali ya kawaida hii.
Nataka niwaambie...
Kama yote hayo ni kweli, mnaficha nini? Tuliambiwa hivi hivi kuhusu migodi yote yenye mikataba tata, tuliambiwa hivyohivyo kuhusu Richmond, Escrow na ujinga mwingine mwingi. CCM ndivyo walivyo...
Yapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na...
Lissu anaongelea tu majimbo kujiamulia mambo ila haelezi gharama za uendeshaji jimbo litatoa wapi.
Anaeleza kijanja janja huku akificha kuwa uendeshaji jimbo unatakiwa uendeshwe kwa pesa za ndani...
Mkutano wa Tundu Lissu akiwa Bagamoyo umenikatisha tamaa kwa hoja zake zisizo na majibu bali zinahitaji utekelezaji wa Serikali.
Mosi, Tundu Lissu anasema wananchi wa barabara ya Kimara wengi...
Kifo cha Rais mstaafu Benjamin W Mkapa ni Pengo kubwa sana katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kwa mwenendo wa uchaguzi wa mwaka huu, hali sio ya kuchukulia poa kama CCM ilivyokuwa ikifikiria. Ukimya...
CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo...
Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini?
Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma.
Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine.
Sikia...
1. Chini ya utawala wake kuna Ombwe la utawala bora na unaoheshimu sheria na katiba
Kitu cha msingi kabisa ambacho raisi anapaswa kukishika kama mboni ya jicho lake ni kutimiza kiapo alichoapa...
Imani yangu inanikataza kushirikiana na watu au vitu viovu sasa ninapoona watu wakipanda jukwaani kutuhubiria mambo mazuri alafu watu haohao wanatumia watu ambao si wasafi kiroho kuvutia umati...
Hili tumekua tukilisema sana humu mara nyingi.
Sababu kubwa Rais Magufuli kushindwa na Wapinzani tena kwa kura nyingi sana ni Ugumu wa maisha aliousababisha yeye na serikali yake. Watu wote nchi...
Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea:
1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa...
Hi ni aibu ya mwaka
Chama kimokosa mvuto tukiwaambia mnabisha hiki chama bila wasanii haki ya Mungu hakipati watu.
Mwaka huu patachimbia watu mjiandae kukabidhi Ikulu.
Lissu yupo vijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.